MBUKE MCHAMBUZ
Member
- Apr 12, 2015
- 31
- 6
Anayemkataa alves hajui majukumu ya beki za pemben, Na nguvu Na kasi yake inaonesha kuna kama misimu miwil ya kukimbiza, bt hyo stering hatumuhitaj hana nafac kwetu, maana hata januzaj akienda liverpool benchi litakuwa linamuita hyo stering
Sterling vs Januzaj?? aseee punguza mapenzi
Hyo level ya kumkataa dani alves Na kumtaka rahim stering anayeweza wekwa benchi Na januzaj kiukwel hata mm ckufikii, Na nikutoe tongo tongo co kwamba anatakiwa Na man u ila waandishi wanazungumzia2 Na wanajarib kumcopare Na pogba Na kusema kuwa angekuwepo man u yangemkuta ya pogba, iwe enzi hii ya van gaal au ferguson
Ngoja nikwambie ki2 kama januzaj angepewa muda wa kucheza kama anaopata stering ungenielewa, ila subil dogo apelekwe timu yoyote atakayopata nafac ya kucheza
Kivipi wafanye comparison kati ya winger na box to box midfielder???? hiyo haiwezi kuwa Kweli pia huwezi kumlinganisha Raheem Sterling na Adnan Januzaj ni wachezaji wa level tofauti Raheem ni mzuri Mara mia ya Adnan anzia kwenye trick pace speed dribbling defending scoring yaani huwezi compare
Kivipi wafanye comparison kati ya winger na box to box midfielder???? hiyo haiwezi kuwa Kweli pia huwezi kumlinganisha Raheem Sterling na Adnan Januzaj ni wachezaji wa level tofauti Raheem ni mzuri Mara mia ya Adnan anzia kwenye trick pace speed dribbling defending scoring yaani huwezi compare
wew huna data kaa kimya tuache wazee wa digital tukupe data m****e ww
Watamlinganisha vp pogba na sterling!!huo uongo,.
pia kwa wanaofuatilia soka kiundani ni kweli hao wachezaj wote wanawindwa na man u kwa ajil ya msimu ujao hasa huyo winger wizard DEPAY wa PSV na HUMMELS
Vitu vingine muwe mnauliza co mnakurupuka2, wanacholinganisha Ni situation zao kwamba pogba alipomsumbua Ferguson alimwacha asepe bure, Na kama hyo raheem sterling angekuwa chin ya Ferguson angeachwa kama pogba tu, coz hana huo ukali wa kusumbua, muwe mnasoma Na kukielewa ki2 co mnakurupuka ili muonekane Na nyinyi mlimkosoa m2
Hebu soma Na uelewe ki2 Na co unakurupuka2, walichokuwa wanalinganisha Ni kwamba hyo dogo angekuwa chin ya manager mtata kama Ferguson angepigwa benchi Na mwisho wa cku aondoke bure2, ndicho walichokuwa wanakiongelea