Tetesi za Usajili Man Utd

Tetesi za Usajili Man Utd

Anayemkataa alves hajui majukumu ya beki za pemben, Na nguvu Na kasi yake inaonesha kuna kama misimu miwil ya kukimbiza, bt hyo stering hatumuhitaj hana nafac kwetu, maana hata januzaj akienda liverpool benchi litakuwa linamuita hyo stering

Sterling vs Januzaj?? aseee punguza mapenzi
 
Hyo level ya kumkataa dani alves Na kumtaka rahim stering anayeweza wekwa benchi Na januzaj kiukwel hata mm ckufikii, Na nikutoe tongo tongo co kwamba anatakiwa Na man u ila waandishi wanazungumzia2 Na wanajarib kumcopare Na pogba Na kusema kuwa angekuwepo man u yangemkuta ya pogba, iwe enzi hii ya van gaal au ferguson

Kivipi wafanye comparison kati ya winger na box to box midfielder???? hiyo haiwezi kuwa Kweli pia huwezi kumlinganisha Raheem Sterling na Adnan Januzaj ni wachezaji wa level tofauti Raheem ni mzuri Mara mia ya Adnan anzia kwenye trick pace speed dribbling defending scoring yaani huwezi compare
 
Ngoja nikwambie ki2 kama januzaj angepewa muda wa kucheza kama anaopata stering ungenielewa, ila subil dogo apelekwe timu yoyote atakayopata nafac ya kucheza

Unajua kama hata national timu Belgium Januzaj anasubiri kwa Origi??? Dogo ana talent ni Kweli lakini sio exceptional anazidiwa vitu vingi sana na Sterling unaposema Januzaj hajapewa nafasi sio Kweli Van Gaal kashampanga mechi tano mfululizo na bado ameshindwa kupeform au ni nafasi gani ambayo unaizungumzia Wewe?!!
 
Kivipi wafanye comparison kati ya winger na box to box midfielder???? hiyo haiwezi kuwa Kweli pia huwezi kumlinganisha Raheem Sterling na Adnan Januzaj ni wachezaji wa level tofauti Raheem ni mzuri Mara mia ya Adnan anzia kwenye trick pace speed dribbling defending scoring yaani huwezi compare

Watamlinganisha vp pogba na sterling!!huo uongo,.
pia kwa wanaofuatilia soka kiundani ni kweli hao wachezaj wote wanawindwa na man u kwa ajil ya msimu ujao hasa huyo winger wizard DEPAY wa PSV na HUMMELS
 
Vitu vingine muwe mnauliza co mnakurupuka2, wanacholinganisha Ni situation zao kwamba pogba alipomsumbua Ferguson alimwacha asepe bure, Na kama hyo raheem sterling angekuwa chin ya Ferguson angeachwa kama pogba tu, coz hana huo ukali wa kusumbua, muwe mnasoma Na kukielewa ki2 co mnakurupuka ili muonekane Na nyinyi mlimkosoa m2
 
wew huna data kaa kimya tuache wazee wa digital tukupe data m****e ww

Liverpool na Man Utd ilikuwa ni mwisho lini kuuziana wachezaji??

Unajua nini kuhusu upinzan wa Liverpool na Man utd???
 
Watamlinganisha vp pogba na sterling!!huo uongo,.
pia kwa wanaofuatilia soka kiundani ni kweli hao wachezaj wote wanawindwa na man u kwa ajil ya msimu ujao hasa huyo winger wizard DEPAY wa PSV na HUMMELS

Hebu soma Na uelewe ki2 Na co unakurupuka2, walichokuwa wanalinganisha Ni kwamba hyo dogo angekuwa chin ya manager mtata kama Ferguson angepigwa benchi Na mwisho wa cku aondoke bure2, ndicho walichokuwa wanakiongelea
 
Vitu vingine muwe mnauliza co mnakurupuka2, wanacholinganisha Ni situation zao kwamba pogba alipomsumbua Ferguson alimwacha asepe bure, Na kama hyo raheem sterling angekuwa chin ya Ferguson angeachwa kama pogba tu, coz hana huo ukali wa kusumbua, muwe mnasoma Na kukielewa ki2 co mnakurupuka ili muonekane Na nyinyi mlimkosoa m2

Haukua specific that's why pia situation ya Pogba pale man utd na hii ya Sterling Liverpool ni very differ kwanza Pogba alikua hana nafasi kabisa kwa kigezo kuwa umri wake mdogo awe na subira ipo siku atacheza na aliondoka bure sio kwasababu Mzee Ferguson alitaka iwe hivyo Ila ni kwasababu Pogba alikataa new deal akiamini hata km atasign bado atakua ni mtu wa bench tu na Mzee Ferguson alijitahidi sana kumsihi Pogba asiondoke hadi akafikia kumwambia atabaguliwa akienda kucheza ligi ya Italia lakini Pogba hakurudi nyuma ile situation ya Pogba ni tofauti na hii ya Sterling dogo anaaminiwa sana kwenye kikosi lakini anagoma kusign mkataba mpya kwakua msimu wa mwaka Jana aliwaomba Liverpool wamuongezee mkataba ili kuboresha malipo yake lakini uongozi uligoma so this time wao walivyokua tayari kumpa contract nae pia kagoma that's the story
 
Hebu soma Na uelewe ki2 Na co unakurupuka2, walichokuwa wanalinganisha Ni kwamba hyo dogo angekuwa chin ya manager mtata kama Ferguson angepigwa benchi Na mwisho wa cku aondoke bure2, ndicho walichokuwa wanakiongelea

we wa wap wew!!
yan inaonyesha hujui lolote kuhusu soka'
 
Back
Top Bottom