Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Mwambusi ataondoka yanga?Tupeane Tetesi za usajili katika Club zetu mbali mbali
1:John Bocco - Azam fc to Simba sc
2:Neck Maxine - Assistant Coach Young African
3:Ajib na Mkude Simba sc to Young African
4:Mbaraka Yusuph Kagera sugar to Young African
5:Banda Simba sc to Young African
Duuuh...Mkuu zikiwa confirmed utujuze pia
Hapana sio hivyo mkuu.....nacomment baadhi ya post sio zote mastaDuuuh...
Mkuu inabidi uandaliwe tunzo hapa JF...
Unatisha mkubwa kasi yako ni zaidi ya mwanga!!.
yanga wapuuzi neck mexime ajui kiingerezaMwambusi ataondoka yanga?
Lugha ya soka inafahamika kirahis kwa kila mwanamichezo! Kina Mata, Digea, Aguero na wengineo mpaka leo English yao ni ya kuungaunga! Ila Meck hawezi kubali kwenda Yanga kuwa msaidizi! Miaka ya nyuma akiwa Mtibwa aliwafitini sana kina Mayanga na Olaba ili tu awe kocha mkuu mtibwa!yanga wapuuzi neck mexime ajui kiingereza
mbele ya pesa mwenyewe kasema yupo tayariLugha ya soka inafahamika kirahis kwa kila mwanamichezo! Kina Mata, Digea, Aguero na wengineo mpaka leo English yao ni ya kuungaunga! Ila Meck hawezi kubali kwenda Yanga kuwa msaidizi! Miaka ya nyuma akiwa Mtibwa aliwafitini sana kina Mayanga na Olaba ili tu awe kocha mkuu mtibwa!
Kiingereza Ndio kinacheza mpira? Hata Neymer hajuiyanga wapuuzi neck mexime ajui kiingereza