Tetesi za usajili Tanzania special thread

Tetesi za usajili Tanzania special thread

Hivi Hutu ajibu si alikua kapata timu Egypt!? Sasa uko singida kafata nini!?yani watu wa kiwango chake wanatafuta timu zinazocheza michuano ya kimataifa ili waonekane yeye,anakimbilia kwenye timu kama singida!? Bora hata angeenda yanga,sometimes akili za wachezaji wa bongo zinashangaza...wakina kamusoka pamoja na umri wao michuano ya kimataifa imewatangaza Leo hii mpka wanaitwa timu ya taifa watu waliokuwa wameshakata tamaa kila wakakaza!!
 
Namuona Ajib akifata nyayo za Mrisho Ngassa Anko na Haruna Moshi Shaaban Mawela Boban
 
kipa wa African Lyon mcameroon to Yanga fc
Dida na Bartez out
 
Ajibu hadi now kasema hakuna timu iliyo kuja mezani, hata hao singida utd ajasaini
 
Ok sasa upo wapi maana yeye anakaa Tegeta kwa sasa
Sikacheza pamoja na kina John Boko na Said Mnyika na Pirlo yule kaka yake John Boko
 
Back
Top Bottom