C Cachondo Senior Member Joined May 6, 2019 Posts 144 Reaction score 139 Aug 3, 2019 #1 Msaada; nahitaji passport ila sina cheti cha mzazi hata mmoja cha kuzaliwa kwani walifariki nikiwa mdogo sana chini ya miaka mitano. Nifanyeje ili niweze kufanikisha lengo?
Msaada; nahitaji passport ila sina cheti cha mzazi hata mmoja cha kuzaliwa kwani walifariki nikiwa mdogo sana chini ya miaka mitano. Nifanyeje ili niweze kufanikisha lengo?
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Aug 3, 2019 #2 Nenda ofisi yoyote ya uhamiaji utapewa maelekezo ambayo ni pamoja na barua ya utambulisho na kuapa mahakamani au kwa kamishna wa viapo. Cha muhimu, FIKA OFISI YA UHAMIAJI KWANZA.
Nenda ofisi yoyote ya uhamiaji utapewa maelekezo ambayo ni pamoja na barua ya utambulisho na kuapa mahakamani au kwa kamishna wa viapo. Cha muhimu, FIKA OFISI YA UHAMIAJI KWANZA.
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,356 Reaction score 38,922 Aug 6, 2019 #3 Huna ndugu?
C Cachondo Senior Member Joined May 6, 2019 Posts 144 Reaction score 139 Aug 7, 2019 Thread starter #4 Waterloo said: Huna ndugu? Click to expand... Yupo