Tetesi

Tetesi

Cachondo

Senior Member
Joined
May 6, 2019
Posts
144
Reaction score
139
Msaada; nahitaji passport ila sina cheti cha mzazi hata mmoja cha kuzaliwa kwani walifariki nikiwa mdogo sana chini ya miaka mitano. Nifanyeje ili niweze kufanikisha lengo?
 
Nenda ofisi yoyote ya uhamiaji utapewa maelekezo ambayo ni pamoja na barua ya utambulisho na kuapa mahakamani au kwa kamishna wa viapo.

Cha muhimu, FIKA OFISI YA UHAMIAJI KWANZA.
 
Back
Top Bottom