Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
Kuna tetesi kwamba mtu haupati tiketi ya kwenda pemba mpaka uwe na kitambulisho cha uzanzibar mkazi.Hii ni kwa wale wanaokwenda kwa meli.Taarifa hizi zimetolewa na watu waliokata tiketi leo za kwenda pemba kutokea unguja,sijasikia lolote kwa wale wanaotokea dar kwanda pemba.Naona mpira bado uko kwa golikipa hali ndo hii,ukifika kwenye kumi na nane hali hitakuwaje?
Mwenye taarifa zaidi tunaomba atudokezee.
Mwenye taarifa zaidi tunaomba atudokezee.
Last edited: