TETETESI-hatimae maandamano yahairishwa

TETETESI-hatimae maandamano yahairishwa

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
YALE MAANDAMANO YA TAREHE 26 YAMEHAIRISHWA HADI 26 DECEMBER MWAKANI.
samahani ili kupata taarifa lala uone kama ni ndoto.
sijawahi ota ndoto halafu ikawa tofauti.
usingizi zzzz
NB:ni kuhusu maandamano ya kushinikiza wadada kupunguza mahari,maana dah tunashindwa kuoa.
 
Hayo yatakuwa ni mandamano ya kubariki ukahaba wa mange kimavi.
 
YALE MAANDAMANO YA TAREHE 26 YAMEHAIRISHWA HADI 26 DECEMBER MWAKANI.
samahani ili kupata taarifa lala uone kama ni ndoto.
sijawahi ota ndoto halafu ikawa tofauti.
usingizi zzzz
NB:ni kuhusu maandamano ya kushinikiza wadada kupunguza mahari,maana dah tunashindwa kuoa.
watu wako siriaz we unatu actia...
 
Let us be are we asking too much? CCM is suffocating the nation.
 
YALE MAANDAMANO YA TAREHE 26 YAMEHAIRISHWA HADI 26 DECEMBER MWAKANI.
samahani ili kupata taarifa lala uone kama ni ndoto.
sijawahi ota ndoto halafu ikawa tofauti.
usingizi zzzz
NB:ni kuhusu maandamano ya kushinikiza wadada kupunguza mahari,maana dah tunashindwa kuoa.

LUMUMBA street
Buku 7 kwa siku
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ndo maana ya kutuliza akili.
umeambiwa TETETESI na siyo TETESI
 
Yalipangwa mwezi ulopita,kwani hutumii ?
 
YALE MAANDAMANO YA TAREHE 26 YAMEHAIRISHWA HADI 26 DECEMBER MWAKANI.
samahani ili kupata taarifa lala uone kama ni ndoto.
sijawahi ota ndoto halafu ikawa tofauti.
usingizi zzzz
NB:ni kuhusu maandamano ya kushinikiza wadada kupunguza mahari,maana dah tunashindwa kuoa.
CRAP.
 
Back
Top Bottom