Teuzi mbalimbali zikamilishwe ili kupunguza makafara ya Wanasiasa wasaka Vyeo!

Teuzi mbalimbali zikamilishwe ili kupunguza makafara ya Wanasiasa wasaka Vyeo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Najua Teuzi mpya zimeanzia kwa Wakuu wa Wilaya

Bado Wakuu wa mikoa, Makatibu Wakuu, Mawaziri nk

Kwa hii trend humo kwenye njia panda mabarabarani na kwenye Maji na viwanja vya Ndege ni Heri zoezi la Teuzi likamilishwe ili maisha ya kawaida yaendelee

Kwaresma njema!
 
Hao ni viherehere tu nani kakwambia kuna uteuzi

USSR
 
Kwaresma sio mchezo naona inachachisha ubongo
 
Bwashee kula chakula na kunywa mbege yako kama kufunga kuna kutesa
 
Back
Top Bottom