MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Binafsi naona kuna haja ya kupitia upya swala la maswala ya teuzi.
Rais hapaswi kuwa na power Pana namna hiyo ya kuteua na kutengua kiasi hiki.
Ningeshauri kwa positions nyeti kama za kiusalama (tiss na police na jeshi) hapa power irudishwe Kwa wananchi Yani kuwe na kampeni kabisa watu wanadi sera zao na wachaguliwe na wananchi lakin kwa mtindo wa kuteuana na kutenguana hii inaounguza uzalendo.
Mtu aliyeteuliwa ni lazima atafanya kadri Boss wake anavyotaka si kadri wananchi wanavyotaka.
Hawa ma Rc na ma DC wote hao tungekuwa tunawapigia kura.
Mawaziri hata kama wakiteuliwa hakuna shida ila shida ipo Kwa watu wa usalama haswa vyeo vikubwa vya kipolice, jeshink na hata Tiss kama inawezekana. Hii itawapa kujiamin na kusimamia haki

Umechelewa sana kujua. Kwani unafikiri ni kwa nini watu wanapigania katiba mpya. Moja wapo ya swala muhimu ambalo linahitaji kurekebishwa ni kuhusu power ya Rais katika kuteua na kutengua.