MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Umechelewa sana kujua. Kwani unafikiri ni kwa nini watu wanapigania katiba mpya. Moja wapo ya swala muhimu ambalo linahitaji kurekebishwa ni kuhusu power ya Rais katika kuteua na kutengua.
Bas WATANZANIA tunatakiwa tuamke tushikamaneUmechelewa sana kujua. Kwani unafikiri ni kwa nini watu wanapigania katiba mpya. Moja wapo ya swala muhimu ambalo linahitaji kurekebishwa ni kuhusu power ya Rais katika kuteua na kutengua.
Hao wa kuamka bado namba ni ndogo, mayopia group ni kubwa sana, hivyo inatakiwa nguvu ya ziada.Bas WATANZANIA tunatakiwa tuamke tushikamane
Nachokiona ni kuibuka Kwa makundi ya kigaidi kama m23 congo ni swala la mudaHao wa kuamka bado namba ni ndogo, mayopia group ni kubwa sana, hivyo inatakiwa nguvu ya ziada.
Mimi hata sijielewi sijui nitakua upande gani, maana naona najiendea tu bora kukicha nashukuruNachokiona ni kuibuka Kwa makundi ya kigaidi kama m23 congo ni swala la muda
Kuwa mzalendo hii nchi ni tajiri sana tunaangushwa na ukoo mmoja tuMimi hata sijielewi sijui nitakua upande gani, maana naona najiendea tu bora kukicha nashukuru
Watajuana wenyewe bwanaBinafsi naona kuna haja ya kupitia upya swala la maswala ya teuzi.
Rais hapaswi kuwa na power Pana namna hiyo ya kuteua na kutengua kiasi hiki.
Ningeshauri kwa positions nyeti kama za kiusalama (tiss na police na jeshi) hapa power irudishwe Kwa wananchi Yani kuwe na kampeni kabisa watu wanadi sera zao na wachaguliwe na wananchi lakin kwa mtindo wa kuteuana na kutenguana hii inaounguza uzalendo.
Mtu aliyeteuliwa ni lazima atafanya kadri Boss wake anavyotaka si kadri wananchi wanavyotaka.
Hawa ma Rc na ma DC wote hao tungekuwa tunawapigia kura.
Mawaziri hata kama wakiteuliwa hakuna shida ila shida ipo Kwa watu wa usalama haswa vyeo vikubwa vya kipolice, jeshink na hata Tiss kama inawezekana. Hii itawapa kujiamin na kusimamia haki
π π πKuwa mzalendo hii nchi ni tajiri sana tunaangushwa na ukoo mmoja tu