Teuzi na Tenguzi za Viongozi Mabalimbali Zilizofanywa na Rais Wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015)



Mama Lao,
Hawa watu wanashangaza sana.Na yeye huyo aliyeteuliwa hawezi kusema tayari ana mzigo mwingine.Utadhani yupo peke yake mwenye uwezo.

Nashukuru tu hajamteua Mudhihiri Mudhihiri maanake siku ile Bungeni alikua anaongea kama vile ni mtu makini sana kwenye lile suala.

Usishangae kesho au leo jioni kaongeza mjumbe mwingine Adam Malima (Kidding)
 
Kutoka kwenye kumbukumbu za BUNGE:

Waziri wa Biashara na Masoko Mheshimiwa Nazir Karamagi, ameomba
niwatambue wageni wake, kwanza ni Bwana Peter Machunde Mkurugenzi wa Shirika linaitwa Vatex Financial Services, Bwana Deusdedit Dancan, ambaye yeye ni mwanasheria kutoka FK Law Chambers wanafanyakazi kwa karibu na ile Vatex. Yupo pia Ndugu Omary Abdallah Kabaka, kutoka kutoka Jimbo la Bukoba Vijijini huyu ni
mpiga kura wake wale pale. Inasemekana huyu ni mmoja wa watu mashuhuri sana anabeba kura kama 2,000. (Makofi/ Kicheko)

Source:MKUTANO WA NNE WA BUNGE- Kikao cha Thelathini na Nane – Tarehe 7 Agosti, 2006

[media]http://www.parliament.go.tz/Polis/PAMS/Docs/HS-4-38-2006.pdf[/media]
 


Dada

Nitumie kwenye mnyika@yahoo.com. Unganisha na uchambuzi na wengine kadiri utavyoona inafaa.

JJ
 
Huyu Bw. Peter Machunde ni yule aliyemo kwenye kamati? Ni vizuri kama ataweka wazi uhusiano wake na Mh. Waziri. Kama Mh. Waziri (au Buzwagi) ni mmoja wa watu watakaochunguzwa na tume, basi huyu bwana itabidi ajitoe kutokana na uwezekano wa kuwa na conflict of interest.
 

Mambo ya kulamba dume hayo,Wizi tu..Unajua Mie simpendi Muumngwana kabisa,anatusfanya sisi wapumbavu,sasa sijui ni yeye au katibu Kiongozi na watendaji wengine...ila hao wote walikuwa foreign na niwa moja..Mie serious nataka kuongea na JK aniambie ataifanyia nini nchi yangu,Nina uchungu sana,Pesa inaliwa tu na hakuna cha maana,iko wapi kamati ya kuchungua mauaji ya bulyankhulu?iko wapi kamati ya kuangalia mishahara ya serikali,imefikia wapi???

i beta be born in another planet,ila kwanini tusiungane??

sitaipigia tena kula CCM.this is bulshit and i kant accept anymore,Machunde kaajiriwa na Karamagi,unategemea atamchunguza KAramagi??

Nitaipigia kura Jamboforums,Tumsimamishe nani??Mzee FES au Mwanakijiji,au Mwafrika wa kike??au augustine Mosha...
 
Halafu anatokea kiumbe mmoja anaiteka hoja na kipeleka lumumba!!!!!
Pambaufu kabisa!!!!
 
Puppets wa wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…