Teuzi ziende hadi kwenye taasisi za dini

Teuzi ziende hadi kwenye taasisi za dini

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Hatupigi hatua kama taifa kiutendaji kwa kuteuana kimzunguko wa sura,majina,makundi,uchawa nk

Nafasi zingine twende kwa watumishi wa mashirika ya dini nao wateuliwe wakalisimamie taifa.
Kuna watawa ni wataaluma wazuri tu katika fani mbalimbali,mbona wanawajibika mashuleni,mahospitalini,mifumo ya maji,majengo,makarakana nk

Hii miradi kichefuchefu haitaisha tusipobadili mind set kifikra kuwa mwanasiasa ndio final kiutendaji.

Mfano hai ni Miradi ya maji na umeme.
Chukua kauli za hawa wawili
1. Kalemani
2. Makamba

Wote ni CCM
Lakini ujumbe na huduma kwa wananchi unafikiri ni chama cha
NGUNGURI NA NGANGARI kumbe wote wanatokana na PGO YA CCM.

Haina afya kabisa
 
Back
Top Bottom