The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Hulo Texas Marekani wazungu wafanya maombi ya toba na msamaha kwa Mungu na watu weusi wasamehewe kwa ubaguzi wa rangi, chuki na unyanyasaji waliowafanyia kwa miaka mingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inatakiwa tuendelee kukiwasha aswe hakuna kukubali kiboya boya namna hii aseee[emoji22][emoji22][emoji22]Watuheshimu mbwa hawa vyenginevyo hawatoishi kwa amani
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Usiseme hivo mkuu wenzenu yamewakuta, whites hawana amani? Mungu akisamehe anasamehe!Mambo ya kuigiza hayo
Maigizo tushayachoka hawakomi hawa VIUMBE wanajiona first class in all items wacha kwanza twende nao kama wanavyotaka after hapa tutaongea lugha mojaUsiseme hivo mkuu wenzenu yamewakuta, whites hawana amani? Mungu akisamehe anasamehe!
Muarab, mhindi na mchina hawawezi kumpigia magoti muafrika, wazungu wanajielewa sana.
Wachina siwapendi hao mbwa..Muarab, mhindi na mchina hawawezi kumpigia magoti muafrika, wazungu wanajielewa sana.
Kila mmoja ana mapungufu yake kwa waafrica ni wasouth, Kero kubwa kwa wazungu ni kwenda kuuwa nchi za watu yaani kutumia nguvu kupita kiasiWachina siwapendi hao mbwa..
Hayo maandamano yamehitimisha lockdown.Kwa haya maandamano ktk majimbo mengi US technically tunasema no lockdown au labda wataandamana na baadae wanajilockdown 😀😀😀😀😀