Texas Marekani wazungu wawapigia magoti weusi na kuwaomba radhi ya ubaguzi waliowafanyia miaka mingi

Texas Marekani wazungu wawapigia magoti weusi na kuwaomba radhi ya ubaguzi waliowafanyia miaka mingi

Mzungu akitaka lake anaweza akakupa kila kitu, wanawapigia magoti coz wanaogopa machafuko, wanajua kikiendelea kunuka ni hatari zaidi ya sasa

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Wazungu wakiamua waache kuandamana afu wawape kibano waafrika watakaoandamana maandamano yakuwa kwishney. Waafrika tu hawawezi kusababisha noma US bila kampani ya wazungu.
 
Wazungu wakitubagua ni kosa kubwa ila tukibaguana sisi kwa sisi sio dhambi, dhambi ya unafiki waafrica tunaoishi bara la Africa itaendelea kututafuna, hivi hicho kinatofautiana vipi na kinachofanywa na serikali ya ccm na vyombo vyake vya ulinzi
Serikali ya ccm imefanyaje?
 
Daaaa! Mkuu Video hii lazima itatufanya tulie Blacks walio wengi wengi, Duniani, ina maana lazima tuwasamehe, wametubu ..Mungu asije akatugeuzia kibao Daaa! '' we honour dem? we welcome dem in our circle!!! who are we? Moderator tafadhari Ifute bana tutalia sana! ...
Hivi kwa akili yako unaamini mkoloni alichokifanya ndicho wote wanaamini?

Hilo ni genge la wanaoshinda kanisani ndiyo waliofanya hiyo ni sehemu ndogo sana kuliko wale wasioamini dini.
 
Watuheshimu mbwa hawa vyenginevyo hawatoishi kwa amani

Charity begins at home ,

Yaliyofanywa Zanzibar na watu weusi wa Tanganyika hayasemeki , na yanaendelea kufanywa . Huu ni wakati wa kuachiwa wajiamulie mambo yao wenyewe dhuluma ziishe na waombe radhi
 
Charity begins at home ,

Yaliyofanywa Zanzibar na watu weusi wa Tanganyika hayasemeki , na yanaendelea kufanywa . Huu ni wakati wa kuachiwa wajiamulie mambo yao wenyewe dhuluma ziishe na waombe radhi
Sawa nakubali, pia mashekhe waliowaweka ndani bila ya kesi yyte wawatoe coz mpka sasa wako ndani bila ya kesi

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom