Wazungu wakiamua waache kuandamana afu wawape kibano waafrika watakaoandamana maandamano yakuwa kwishney. Waafrika tu hawawezi kusababisha noma US bila kampani ya wazungu.Mzungu akitaka lake anaweza akakupa kila kitu, wanawapigia magoti coz wanaogopa machafuko, wanajua kikiendelea kunuka ni hatari zaidi ya sasa
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Serikali ya ccm imefanyaje?Wazungu wakitubagua ni kosa kubwa ila tukibaguana sisi kwa sisi sio dhambi, dhambi ya unafiki waafrica tunaoishi bara la Africa itaendelea kututafuna, hivi hicho kinatofautiana vipi na kinachofanywa na serikali ya ccm na vyombo vyake vya ulinzi
Hivi kwa akili yako unaamini mkoloni alichokifanya ndicho wote wanaamini?Daaaa! Mkuu Video hii lazima itatufanya tulie Blacks walio wengi wengi, Duniani, ina maana lazima tuwasamehe, wametubu ..Mungu asije akatugeuzia kibao Daaa! '' we honour dem? we welcome dem in our circle!!! who are we? Moderator tafadhari Ifute bana tutalia sana! ...
Watuheshimu mbwa hawa vyenginevyo hawatoishi kwa amani
Sawa nakubali, pia mashekhe waliowaweka ndani bila ya kesi yyte wawatoe coz mpka sasa wako ndani bila ya kesiCharity begins at home ,
Yaliyofanywa Zanzibar na watu weusi wa Tanganyika hayasemeki , na yanaendelea kufanywa . Huu ni wakati wa kuachiwa wajiamulie mambo yao wenyewe dhuluma ziishe na waombe radhi
Sawa nakubali, pia mashekhe waliowaweka ndani bila ya kesi yyte wawatoe coz mpka wako ndani bila ya kesi
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
The last emperor'Technically' clearing the atmosphere.
-Kaveli-
Muulize KikweteSawa nakubali, pia mashekhe waliowaweka ndani bila ya kesi yyte wawatoe coz mpka sasa wako ndani bila ya kesi
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
huku kwetu ingesemwa NI MAAGIZO TOKA JUUMambo ya kuigiza hayo