Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Nasubiri pia kakaSawa, baadaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri pia kakaSawa, baadaye.
Download app inaitwa Voice. Ni nzuri sana. Huu ni mwaka wa tatu na bado naitumia!!!Habari za muda huu wanateknolojia
Nikiwa kama mdau wa kusoma vitabu mbalimbali, ni kwa muda sas nimetafuta app inayoweza kuconvert texts to voice note ( hasa kwa pdf books) ili kurahish usomaji wangu niweze soma vitabu vingi kwa muda mfupi
naomba kwa mwenye kufahamu App inayoweza kutumika kwa shughuli ya kubadilisha texts kwenda voices(reader) anisadie tafadhali
Unafikiri yeye ameshindwa kuja PM yako kukueleza yote hayaNitumie email yako nitakutumia link kesho inasoma hadi kiswahili.
Mwaka 2018 nilikuwa nafanya kazi pahala fulani, kuna docs ilikuwa ni lazima ziwe kwa audio.
Nilikuwa natumia pistonsoft, ili kuboresha sauti nilikuwa naongezea sauti kutoka program nyingine iliitwa Ivona ambapo wasomaji ni Amy kwa UK English, Kendra kwa US nk.
Hii kwangu ilikuwa ni the best.
Kuna kitabu kinaitwa Ansons Law of Contract (wanasheria 1st year wanakijua) kilikuwa na page 800+ sawa na urefu wa masaa 74 niliwahi kukibadilisha kikatoka vizuri sana ila bahati mbaya sina kumbukumbu tena.
na kwa bahati mbaya tena ivona na piston soft nilizitafuta hazifanyi kazi tena.
Akikutumia tafadhali ww itume hapa hapA,,,,playstore naona zipo nyingi kwa jina hilo hilo
naomba unitumie icon yake ama direct link
Nitaweka hapa hapa njeUnafikiri yeye ameshindwa kuja PM yako kukueleza yote haya
Hili ni jukwaa ambalo pia ni kama darasa sasa kila mwanafunzi kila mwanafunzi akimtembelea mwalimu chumbani kwake itakuaje... tupia link hapa hapa
Linck iweke hapaNitumie email yako nitakutumia link kesho inasoma hadi kiswahili.
Mwaka 2018 nilikuwa nafanya kazi pahala fulani, kuna docs ilikuwa ni lazima ziwe kwa audio.
Nilikuwa natumia pistonsoft, ili kuboresha sauti nilikuwa naongezea sauti kutoka program nyingine iliitwa Ivona ambapo wasomaji ni Amy kwa UK English, Kendra kwa US nk.
Hii kwangu ilikuwa ni the best.
Kuna kitabu kinaitwa Ansons Law of Contract (wanasheria 1st year wanakijua) kilikuwa na page 800+ sawa na urefu wa masaa 74 niliwahi kukibadilisha kikatoka vizuri sana ila bahati mbaya sina kumbukumbu tena.
na kwa bahati mbaya tena ivona na piston soft nilizitafuta hazifanyi kazi tena.
Nimeenda kote, nafail kwenye option ya kuupload file la kuconvertKuna mfano wa audio ambayo ni kipande cha uzi wa mwana JF nilikuwa najaribu kuweka, sijui kinacheza kwenu? Hata kama hakichezi haina shida.
OK, copy hii MS Speech Bot kisha paste kwenye telegram.
Uta-paste hii link kwenye telegram yako
Chagua lugha unayotaka kuconvert
Chagua msomaji kama ni wa kike au kiume
Chagua vile vidoti vitatu huku huku Chini ili ikupeleke kwenye docs unayotaka kuconvert
Baada ya kuchagua subiri imalize kazi kisha save audio yako.
Mambo mengine utajiongezaView attachment 2607610
Samahani, nenda hapo. Nilikosea maelekezo mara ya kwanza.Nimeenda kote, nafail kwenye option ya kuupload file la kuconvert