U Uttarra JF-Expert Member Joined Jan 5, 2019 Posts 468 Reaction score 783 Feb 8, 2019 #1 Tezi dume inasababishwa na nini? Je inatibika? Kama inatibika, je inatibika kwa dawa ya kupaka? Ni ipi hospitali inatibu na mwenye kumjua dr bingwa au mzoefu tafadhali. Natanguliza shukran marafiki.
Tezi dume inasababishwa na nini? Je inatibika? Kama inatibika, je inatibika kwa dawa ya kupaka? Ni ipi hospitali inatibu na mwenye kumjua dr bingwa au mzoefu tafadhali. Natanguliza shukran marafiki.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Feb 8, 2019 #2 we nenda hosptal, hapa utapewa kahawa mchana
Finegirlone JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 1,836 Reaction score 3,609 Feb 10, 2019 #3 Uttarra said: Tezi dume inasababishwa na nini? Je inatibika? Kama inatibika, je inatibika kwa dawa ya kupaka? Ni ipi hospitali inatibu na mwenye kumjua dr bingwa au mzoefu tafadhali. Natanguliza shukran marafiki. Click to expand... Pole Sent using Jamii Forums mobile app
Uttarra said: Tezi dume inasababishwa na nini? Je inatibika? Kama inatibika, je inatibika kwa dawa ya kupaka? Ni ipi hospitali inatibu na mwenye kumjua dr bingwa au mzoefu tafadhali. Natanguliza shukran marafiki. Click to expand... Pole Sent using Jamii Forums mobile app
U Uttarra JF-Expert Member Joined Jan 5, 2019 Posts 468 Reaction score 783 Feb 10, 2019 Thread starter #4 Nasubiri kahawa na chai, nina imani mimi si wa kwanza kuuguliwa hivyo kuna watu wanajua ugumu wa kuuguza.
Nasubiri kahawa na chai, nina imani mimi si wa kwanza kuuguliwa hivyo kuna watu wanajua ugumu wa kuuguza.