Tezi dume

Tezi dume

Uttarra

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
468
Reaction score
783
Tezi dume inasababishwa na nini?

Je inatibika?

Kama inatibika, je inatibika kwa dawa ya kupaka? Ni ipi hospitali inatibu na mwenye kumjua dr bingwa au mzoefu tafadhali.

Natanguliza shukran marafiki.
 
Nasubiri kahawa na chai, nina imani mimi si wa kwanza kuuguliwa hivyo kuna watu wanajua ugumu wa kuuguza.
 
Back
Top Bottom