WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,433
- 1,442
Habari wakuu,
Napenda kuwajulisha kwa wajasiriamali wenye viwanda vidogovidogo au vya kati na vikubwa au wale wenye mpango wa kuanzisha viwanda vya kusindika vyakula vya binadamu mjini moshi na wanahitaji Food technologist kwa ajiri Ya usajili wa bidhaa zao TFDA na TBS na technical advices pia,napenda kuwajulisha kama mtu yeyote anauhitaji ya mtu wa elimu ya Food science & Technology tafadhari wasiliana nami au tuma e-mail kupitia (moshifst@yahoo.com)
Msaada utakaopata ni:-
1.Kupata usajiri bidhaa TFDA & TBS na ushauri wa kitaalamu kuhusu kuanzisha kiwanda cha usindikaji vyakula vya binadamu
2.kuandaliwa kwa mchoro wa kiwanda (plant layout) na mchakato wa uzalishaji (product process chart flow diagram)
3.food product development
4.Hazard Analysis Critical Control Point (HACCP) plan preparation
5.Food Quality assurance system
6.kuandaliwa kwa documents za GMP,GHP & SOPs
Pia utasaidiwa kupata barua ya kiapo itakoyokusaidia kuwezesha kusajiliwa kwa bidhaa zako au kiwanda chako TFDA na TBS.
Tunakaribisha sana hasa vikundi vya akina mama na vijana wajasiriamali
AHSANTENI SANA (moshifst@yahoo.com)