TFF acheni figisu figisu ligi daraja la kwanza

TFF acheni figisu figisu ligi daraja la kwanza

Hakuna namna zaidi ya kuipa nafasi timu ya makao makuu ya nchi ili kuleta msawazo kama ambavyo miaka mingi timu za Dar zinavyofanyiwa figisu zisipande kisa tu Dar kuna timu nyingi

Refer...Friends rangers,Ashanti,Abajalo,African Lyon

Ligi daraja la kwanza mimi naionaga kama maigizo tu tokea ule mwaka aliopanda Ndanda fc badala ya African Lyon kwa kukosa million 5 za hongo
 
Dodoma hata ikipanda mwaka mmoja lazima ishuke hawana kiwango cha kucheza ligi kuu

Kwa kifupi itasindikiza wenzao itakuwa inapigwa na kila team
 
Back
Top Bottom