Propaganda zipi sasa? Ina maana wewe ndio una ufahamu zaidi yao? Mbona SA, nao wametangaza kuwa timu yao itakapocheza mechi mwezi wa 10, wataingia waliochanjwa tu? Unadhania wao FIFA, hawapendi kuona dunia yote watu wanachanjwa? Hiyo nyomi inayoingia kwenye viwanja huko ulaya siku hizi, unadhania ni matokeo ya nini?Wape salaaamu!
Nakemea vikali kama sio kuwaonya basi kuwashauri TFF, ni juu ya hii propaganda ya kuhusisha soka na mambo ya chanjo moja kwa moja.
Katika mechi ya watani, almaarufu Kariakoo Derby. Kuna tangazo kuwa "Mashabiki 100 watakaokubali 'kuchanjwa' watapata kuingia BURE"!
Hii ni kinyume kabisa na taratibu za FIFA. Huwezi kujiingiza kichwa kichwa namna hiyo hata kama lengo lako ni 'kujilamba' kwa mamlaka kwa kuipigia chapuo CHANJO.
Sijui kama madhara yake yamefikiriwa, FIFA wakiamua kushusha rungu lao msiseme hatukuwaonya.
Ni hayo tu kwa sasa.
Kingai.
Propaganda zipi sasa?ina maana wewe ndio una ufahamu zaidi yao ?mbona SA, nao wametangaza kuwa timu yao itakapocheza mechi mwezi wa 10, wataingia waliochanjwa tu?unadhania wao FIFA, hawapendi kuona dunia yote watu wanachanjwa?hiyo nyomi inayoingia kwenye viwanja huko ulaya siku hizi, unadhania ni matokeo ya nini?mbona kabla ya chanjo viwanja vilikuwa vyeupe tu?kwani hiyo COVID19, hapa kwetu bado ni siasa tu, kwani kwa hii 0.6%ya watu ndio waliopata chanjo hukutakiwa hata kufika kwenye geti la uwanja wa taifa.hilo mbona hulioni?tena kwa taarifa yako FIFA, watawapongeza sana.Nyie wafuasi wa GWAJI BOY, endeleeni na msimamo huo huo ila ni suala la muda tu.
Yaani kwenda kushangilia mpira nako kwa mtu aliyetoka kuchanja anatakiwa apumzike?mimi nilienda kuchanga na nilipotoka hapo niliendelea na shughuri zangu kama kawaida tena ni ngumu sana kulinganisha na huko kushangilia!!hiyo chanjo sio kama kitendo cha kutoa damu hapo ingekuwa sawa.na ndio maana nchi nyingi sasa kuna baadhi ya maeneo kwa mtu asiye chanja anakutana na vizingiti vingi sana, na ndio maana nikasema ni suala la muda tu lakini hii chanjo itakuwa ni lazima.Heshima mbele Mchawi Mweupe!
Naamini sio mweupe kichwani, kuruhusu waingie uwanjani waliochanjwa tu si sawa na kutoa OFA ya chanjo 'mlangoni' ili wanufaika waingie BURE.
Hiyo ndo uncalculated propaganda.
Unapohoji ufahamu wangu ni zaidi yao, japo sijui unakusudia kina nani hao. Lakini YES, nina ufahamu angalau kwenye hili.
Je, wajua mtu anapaswa kupumzika muda gani baada ya kupata CHANJO?
Jibu hilo nijue najadili na mtu wa aina gani.
Kingai.
Tunafuatilia hoja hapa na nilikuwa na side na wapiga promo za chanjo.Yaani kwenda kushangilia mpira nako kwa mtu aliyetoka kuchanja anatakiwa apumzike?mimi nilienda kuchanga na nilipotoka hapo niliendelea na shughuri zangu kama kawaida tena ni ngumu sana kulinganisha na huko kushangilia!!hiyo chanjo sio kama kitendo cha kutoa damu hapo ingekuwa sawa.na ndio maana nchi nyingi sasa kuna baadhi ya maeneo kwa mtu asiye chanja anakutana na vizingiti vingi sana, na ndio maana nikasema ni suala la muda tu lakini hii chanjo itakuwa ni lazima.
Kwani Karia anasemaje?Wape salaaamu!
Nakemea vikali kama sio kuwaonya basi kuwashauri TFF, ni juu ya hii propaganda ya kuhusisha soka na mambo ya chanjo moja kwa moja.
Katika mechi ya watani, almaarufu Kariakoo Derby. Kuna tangazo kuwa "Mashabiki 100 watakaokubali 'kuchanjwa' watapata kuingia BURE"!
Hii ni kinyume kabisa na taratibu za FIFA. Huwezi kujiingiza kichwa kichwa namna hiyo hata kama lengo lako ni 'kujilamba' kwa mamlaka kwa kuipigia chapuo CHANJO.
Sijui kama madhara yake yamefikiriwa, FIFA wakiamua kushusha rungu lao msiseme hatukuwaonya.
Ni hayo tu kwa sasa.
Kingai.
Huna akili.Wape salaaamu!

Hakuna Dr aliyepoteza uwezo kuhimiliTunafuatilia hoja hapa na nilikuwa na side na wapiga promo za chanjo.
Lkn hapa jibu hoja kisayansi.
Ushauri unasemaje baada ya kuchanja? Acha uzoefu wako wewe wa side effect. Kumbuka wakati wa zoezi la kuchanja mbele ya kamera ulipokuwa unatumia, yupo kijana sijui dr alipoteza uwezo wa kujihimili
Bulugu. Link katafute mwenyewe. Kama umeshindwa kujibu hoja . Endelea kutoa cha asubhHakuna Dr aliyepoteza uwezo kuhimili
Lete link .
Kama huwezi kuthibitisha acha ujinga wako na ficha upumbavu wako
Hoja ya kisayansi ipi sasa, unapochanja unachoambiwa ni kuwa usinywe pombe ndani ya siku tatu, hakuna jingine, mimi nimechanja mtaani tu wala sio mbele ya camera, hizo side effects hata mtu akimeza dawa ma malaria zinaweza tokea lakini , kwenye chanjo hii inaweza kuwakuta 0.001%Tunafuatilia hoja hapa na nilikuwa na side na wapiga promo za chanjo.
Lkn hapa jibu hoja kisayansi.
Ushauri unasemaje baada ya kuchanja? Acha uzoefu wako wewe wa side effect. Kumbuka wakati wa zoezi la kuchanja mbele ya kamera ulipokuwa unatumia, yupo kijana sijui dr alipoteza uwezo wa kujihimili
Hili ndio jibu .Hoja ya kisayansi ipi sasa, unapochanja unachoambiwa ni kuwa usinywe pombe ndani ya siku tatu, hakuna jingine, mimi nimechanja mtaani tu wala sio mbele ya camera, hizo side effects hata mtu akimeza dawa ma malaria zinaweza tokea lakini , kwenye chanjo hii inaweza kuwakuta 0.001%
Hakuna Dr aliyepoteza uwezo kuhimili
Lete link .
Kama huwezi kuthibitisha acha ujinga wako na ficha upumbavu wako
Namlaumu sana karia
Ilitakiwa walichanja tu ndio waingie uwanjani
wallace kalia ajielewiWallace Kalio ni mpuuzi mmoja.