ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,313
- 1,773
Wape salaaamu!
Nakemea vikali kama sio kuwaonya basi kuwashauri TFF, ni juu ya hii propaganda ya kuhusisha soka na mambo ya chanjo moja kwa moja.
Katika mechi ya watani, almaarufu Kariakoo Derby. Kuna tangazo kuwa "Mashabiki 100 watakaokubali 'kuchanjwa' watapata kuingia BURE"!
Hii ni kinyume kabisa na taratibu za FIFA. Huwezi kujiingiza kichwa kichwa namna hiyo hata kama lengo lako ni 'kujilamba' kwa mamlaka kwa kuipigia chapuo CHANJO.
Sijui kama madhara yake yamefikiriwa, FIFA wakiamua kushusha rungu lao msiseme hatukuwaonya.
Ni hayo tu kwa sasa.
Kingai.