TFF acheni kuwabeba Simba

Wewe sijui nimekukosea nini mimi jamani nakuquote unanichuninia nikikumention pia kimya nisamehe mm kama nimekukosea
Nakusalimia sana.... u mzima wewe? nimemiss ile kitu unanipaga!
 
Ndio hiyo hiyo tff imewafanya vyura wacheze mechi 12 taifa bila kutoka
 
wanaohusika kubadili kalenda ya mechi si tff bali ni bodi ya ligi tena ikiongozwa na kiongozi wa yanga,hivyo mlaumuni kiongozi wa yanga kwa kuipendelea simbs
 
wanaohusika kubadili kalenda ya mechi si tff bali ni bodi ya ligi tena ikiongozwa na kiongozi wa yanga,hivyo mlaumuni kiongozi wa yanga kwa kuipendelea simba
 
Niende nje ya mada ila nnachokiona kufungwa kwa simba na mbao fc kumeongeza chachu ya kariakoo derby.
 
Hawapaswi kuonewa huruma....ananidhigi sana manara na nasema tukiwafunga nakesha kwenye page yake
Jipe moyo tu, hata mwaka jana tulifungwa na Kagera na Stand United ila uliposogeza pua unajua yaliyokukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…