Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Nakusalimia sana.... u mzima wewe? nimemiss ile kitu unanipaga!Kwahiyo unatakaje eti mshaanza kulialia mapema
Halafu huku sio jukwaa la michezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusalimia sana.... u mzima wewe? nimemiss ile kitu unanipaga!Kwahiyo unatakaje eti mshaanza kulialia mapema
Halafu huku sio jukwaa la michezo
Hahaahhaa vibaya hivyo,tuwaonee huruma hawa MikiaWaache wajiandae lakini time hii kipigo kipo pale pale na watapata tabu sana
Hizo zote za nyumbani au ugenini wewe kiwiliwili bint MkiaUlishalitafakari la timu moja kucheza mechi 11,bila kutoka nje ya mkoa?
Hawapaswi kuonewa huruma....ananidhigi sana manara na nasema tukiwafunga nakesha kwenye page yakeHahaahhaa vibaya hivyo,tuwaonee huruma hawa Mikia
Hahahaa Jana kanywea balaaaHawapaswi kuonewa huruma....ananidhigi sana manara na nasema tukiwafunga nakesha kwenye page yake
Nakusalimia sana.... u mzima wewe? nimemiss ile kitu unanipaga!
Atakosa kunywea na atanywea zaidi trh 30Hahahaa Jana kanywea balaaa
nipo nilikuwa busy kidogoNipo huku kipenzi
Upo nani amekuteka jamani
nipo nilikuwa busy kidogo
vipi kwenye kurasa zetu pendwa kuna mpya? kama ipo nitag niianzeNipo huku kipenzi
Upo nani amekuteka jamani
Hahaha nimecheka sana, halafu sio NEC tu mpaka polisi wamo ndaniTulize mshono mbona CCM inabebwa na NEC na maisha yanasonga? Hii ndiyo bongo.
Jipe moyo tu, hata mwaka jana tulifungwa na Kagera na Stand United ila uliposogeza pua unajua yaliyokukutaHawapaswi kuonewa huruma....ananidhigi sana manara na nasema tukiwafunga nakesha kwenye page yake