TFF anzieni hapa ugomvi wa mashabiki wa Simba na Yanga

TFF anzieni hapa ugomvi wa mashabiki wa Simba na Yanga

Umeona sasa? Umechukua maneno mawili tu ukaacha mantiki ya comment yangu. Hata ka mi ninaweza nikawa mtoto wako kubali kuambiwa ukweli, Jenga hoja kuonesha wewe ni mkubwa.

Kitendo mlichofanya mashabiki wa Yanga hakikubaliki kwenye michezo. Michezo ni furaha sio ugomvi
 
Yanga wanafanya vurugu wakijitetea chanzo ni Manara.
Ukijiuliza kafanya nini hupati jibu, unakutana na maneno ya kawaida tu sio ya kumfanya mtu apigane (Maneno ka gongowazi, sijui kwasukwasu na hii Uto waliyojipa mwenyewe)
Lakini wao ndo wamejaa kwenye page yake wakimwita mwarabu wa Ngaruka na matusi kibao,

Chanzo kikubwa ni Ushamba wa kupenda mpira ukubwani baada ya Ujio wa Azam Tv.
 
Kwa upande wangu naona wale jamaa kupokea kichapo ilikua sawa kabisa mechi sio ya Simba mnakodi gari kabisa mpaka mkoani morogoro ingekua dar ningesema sawa kunanini nyuma ya hawa mashabiki wa Simba wanapata faida gani kukodi gari mpaka mikoni? Je kunamkono wa uongozi wa Simba ? Wametumwa na Nani kutuhujumu? Tutawapiga sana tuu popote watakapo tufuata tushachoka kuhujumiwa
 
Ngoja mabingwa wa nchi waanze mechi za Kimataifa kwa mkapa pale. Machinjioni kwa waarabu na wengine. MTAENDA AZAM KUCHEKI YANGA NA KMKM
 
Manara amekuwa akiidhihaki na kuidharau Yanga... Amepitiliza kabisa kwenye Level ya UTANI ameanza KUWADHALILISHA YANGA, WACHEZAJI WAO, WAMILIKI, n.k.... inafika muda nembo ya Yanga anaweka CHURA pale??? Huyu ndiye anayesababisha CHUKI kujaa kifuani mwa wana Yanga. Kwani Simba na Yanga zimeanzishwa leo?? Kwani utani wa Jadi umeanza leo???? KWANINI KUPIGANA KUANZE LEO????
Kuna mtu anayetukanwa kwenye nchi hii kama Manara??
 
Kumekuwa na tatizo la mashabiki kupigwa uwanjani hasa wa Simba waingiapo mechi za Yanga. Kuhusu uchunguzi wa sababu za vurugu hizo TFF anzieni hapa.

1/Wapo mashabiki wa timu moja ni wakorofi sana ila wamejipa jina la unyonge. Mashabiki hawa wanapenda ku attack personally lakini wakipigwa watasema club yao imepigwa. Hawa wana attack watu personally kwa matusi lakini wakipigwa au kudhihakiwa wanaenda kujificha nyuma ya kivuli cha Club, dini au ulemavu wao.

2/TFF waangalie pia namna gani wanavilea hivi vilabu, je haki inatendeka wao wanapotoa maamuzi kwa vilabu hivyo? Tumeona mara kadhaa klabu moja kupewa adhabu wakati nyingine hazipewi kwa makosa yanayofanana. Hii inapelekea kundi moja kuona haina haki kwa baba yao hivyo kuanza kujichukukulia sheria mikononi.

Note:
Simba na Yanga ni watani wa jadi wenye uhasimu mkubwa tangu zamani, kama watu wanajiua endapo timu moja inafungwa watashindwa kukuua wewe pale hisia za namna hiyo zinapowapata? Hivyo tujadili namna nzuri ya kuingia kwenye mechi za watani hawa na kuheshimu hisia za watu.
Ushabiki na utani wa jadi ni maneno haijalishi yanachoma kiasi gani

Mmehamia kwenye ngumi ?
 
Kinachowaponza mashabiki wengi wa Yanga ni ushamba.
Wana Yanga wengi wa miaka hii hawajui maana ya "UTANI WA JADI".
Hawajui kabisa kama waasisi wa timu hizi walikuwa ndugu na majirani kwa nia ya kuburudika.
Kauli za shombo ni sehemu ya utani.
Matusi siyo utani na hakuna aliyewatukana zaidi ya kutania.
Ila wana Yanga waelewe, vitendo vya kupigana wanavyoanza kuzoea vitawaghalimu.
Mashabiki wa Simba hawatakubali kuzoa tabia hiyo
 
Katika kukua kwako ulishaona mashabiki wa simba na yanga wanapigana, mnatoka maporini mnajifunza ushabiki ukubwani ndio mnakimbilia kupigana
Naona we ndio umetoka porini. Munaijua ligi kupitia Azam Tv. Kwenye kila uwanja hapa Tanzania kuna majukwaa yanayojulikana kama ni ya Yanga au Simba, majukwaa hayo hukaa wanazi waliopitiliza ushabiki sasa wewe timu pinzani ukienda utapigwa tu, tena unaenda umevaa jezi ya hasimu kabisa nakwambia ndugu utapigwa tu. Tukubali kuheshimu hisia za watu.
 
Unazungumzia kuhusu kuheshimu hisia za watu usingeshabikia upuuzi unaofanywa na upotolo wenzako .
Umeuliza swali halafu umejijibu inaonyesha wewe ni mporipori hasa.
 
Huna points ya msingi. Nonsense
Kama unaona hakuna point hapo sasa nyie endeleeni kujichanganya muone tunavyowafirimba kumamake....... Kama hamuamini jichanganyeni kwenye game ya Coastal muone .... Mtajua hamjui
 
hakuna shabiki wa simba aliye pigwa zaidi ya kuzomewa na wananchi, na polisi walifanya kazi yao ya kuwahamishia eneo salama zaidi ili waendelee kupata ya burudani ya kandanda safii kabisa la wananchi…………………..
 
Kinachowaponza mashabiki wengi wa Yanga ni ushamba.
Wana Yanga wengi wa miaka hii hawajui maana ya "UTANI WA JADI".
Hawajui kabisa kama waasisi wa timu hizi walikuwa ndugu na majirani kwa nia ya kuburudika.
Kauli za shombo ni sehemu ya utani.
Matusi siyo utani na hakuna aliyewatukana zaidi ya kutania.
Ila wana Yanga waelewe, vitendo vya kupigana wanavyoanza kuzoea vitawaghalimu.
Mashabiki wa Simba hawatakubali kuzoa tabia hiyo
pumbavu Simba imeanzishwa na wahindi na waarabu, Yanga imeanzishwa na waafrika, hawakuwahi kuwa ndugu.
 
pumbavu Simba imeanzishwa na wahindi na waarabu, Yanga imeanzishwa na waafrika, hawakuwahi kuwa ndugu.
Acha tabia ya kukariri.
Simba ilianzishwa na wazawa kama ilivyo Yanga.

Wahindi na waarabu walikuja wenyewe kwa mapenzi yao hasa baada ya timu ya Yanga kuwabagua watu hao.
Kitu kama hukijui heri ukae kimya
 
Yanga aka Utopolo au HOHO FC. Kubwa lakini haliwashi. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa hivi ukimquote mtu wa utopolo, ndala, yeboyebo, mbwa, nyani, usisahau emoji hizi[emoji2187][emoji2187][emoji119][emoji120][emoji2089][emoji2089][emoji2088][emoji2088][emoji2222] la sivyo utachezea vitasa mpaka ufe, dawa ni kuyatania alafu unatoka nduki.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mambwa hayooooo [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Acha tabia ya kukariri.
Simba ilianzishwa na wazawa kama ilivyo Yanga.

Wahindi na waarabu walikuja wenyewe kwa mapenzi yao hasa baada ya timu ya Yanga kuwabagua watu hao.
Kitu kama hukijui heri ukae kimya
acha uongo. Simba imeanzishwa na wahindi na waarabu wa kariakoo ndio maana waliita Sunderland wakiifananisha na Sunderland ya uingereza, wahindi na waarabu hawakuipenda Yanga kwa sababu yanga ilianzishwa na waafrika wazalendo waliokuwa wanapigania uhuru wa Tanganyika. toka lini wahindi na waarabu wakapenda timu ya waafrika?
 
Lete huo ushahidi, maana mnajua kuongea badala ya kuleta ukweli wa jambo
Nani alimwita Tshishimbi bwabwa mvaa vikuku?
120372226_2783762005276762_8933780022051651123_n.jpeg
 
Usiongee bila kutoa ushahidi.Eleza ni club ipi inapendelewa na hao TFF,na kwa vipi,huku ukianisha mifano halisi pasipo kutia Shaka,vinginevyo kama ni hisia zako,baki nazo mle na wakwenu
Huyu alichukuliwa hatua gani? Kwa hali hii hawa wangekutana physically nini kingetokea? Nani alimwita Tshishimbi bwabwa mvaa vikuku? Matusi sio utani wa jadi.
120372226_2783762005276762_8933780022051651123_n.jpeg
 
Uhamasishaji wa Hajji Manara unaeneza chuki na uhasama dhidi ya hivi vilabu. Ashughulikiwe mapema kabla hali haijawa mbaya.
 
Back
Top Bottom