Ukweli ningependa Singida watuwakilishe mwakani na wawe ndio wameingia kwenye ushindani wa kimataifa na taratiiiiiibu simba na yanga ziondoke kwenye utawala fake wa soka bongo
wewe una shida sehemu.Walipokuwa Yanga walifanya nini?? Afadhali waende JKT Ruvu kuliko Yanga.
Uko sahihi.Hii mbinu ilibuniwa kwa ajili ya simba,lengo ilikuwa nikumwezesha ashiriki michuano ya kimataifa .Hivyo kwa kuwa timu nyingi zinanuka njaa ,kanuni zipitiwe haraka kabla ile adhabu aliyopewa mtibwa miaka ile isije ikatukuta ,
Kuwa serious basi.Hiyo ni kanuni ya CAF sio TFF
Ata kama ratiba mkuu hatuwezi vunja kanuni na taratibu tulizojiwekea kisa fulan na fulani hawajafuzu noo mkuu waache na wengine wajaribu.Mkuu, hivi ratiba hukuwa unaiona ilivokuwa ikipangwa?
Mkuu, umenichekesha sana. Ni kanuni ngapi za FIFA na CAF hatuzifuati? Mbona zipo lukuki kwa faida ya timu zetu pendwa? Hakuna lisilowezekana.Ata kama ratiba mkuu hatuwezi vunja kanuni na taratibu tulizojiwekea kisa fulan na fulani hawajafuzu noo mkuu waache na wengine wajaribu.
Lazima hujaelewaKuwa serious basi.
Ni kanuni ya TFF. Kila nchi huamua mwakilishi apatikane vipi. Wengine hawana hata hiyo FA CupHiyo ni kanuni ya CAF sio TFF
Na mimi ningependa iwe hivyo lakini bahati mbaya hawataing'oa Mtibwa Sugar ng'oooo.Ukweli ningependa Singida watuwakilishe mwakani na wawe ndio wameingia kwenye ushindani wa kimataifa na taratiiiiiibu simba na yanga ziondoke kwenye utawala fake wa soka bongo
Wajitahidi wanaweza maana mtibwa sidhani kama wana nia ya kwenda kimataifa maana kuna wakati walishindwa wakapata adhabu so wanaweza kuuza game kwa SingidaNa mimi ningependa iwe hivyo lakini bahati mbaya hawataing'oa Mtibwa Sugar ng'oooo.
Kuna nchi hata moja ambayo ina FA cup na bingwa wake hashiriki mashindano ya federation?Ni kanuni ya TFF. Kila nchi huamua mwakilishi apatikane vipi. Wengine hawana hata hiyo FA Cup
Zanzibar wakishapata uanachama kamili watatushangaza.Ndo wakati wa timu zingine za VPL zione ugumu wa mechi za kimataifa na kutoa heshima kwa Yanga,Simba na Azam.
Hivi unadhani Zanzibar wana hamu na michuano hiyo ya Afrika timu zao kila mechi zinaona cha moto.
Wakipata uanachama wa FIFA ambao utapelekea kupata msaada ile ya kuendeleza soka watapiga hatua kubwa.Zanzibar wakishapata uanachama kamili watatushangaza.
ZanzibarKuna nchi hata moja ambayo ina FA cup na bingwa wake hashiriki mashindano ya federation?