TFF badilisheni kanuni mwakilishi wetu kombe la Shirikisho CAF mwaka huu!

Ukweli ningependa Singida watuwakilishe mwakani na wawe ndio wameingia kwenye ushindani wa kimataifa na taratiiiiiibu simba na yanga ziondoke kwenye utawala fake wa soka bongo

mkuu umenena ..simba na yanga hawana discpline kbsa linapokuja suala la mechi za kimataifa, hebu ona wakikutana wao kwa wao maandalizi wanayofanya , utaskia hyu kaenda pemba mwingine kaenda morogoro lkn kwenye mechi za kimataifa wana relax kbsa
 
Sasa unataka ligi yetu isikue mkuu yani kila mwaka timu zilezile na hazipigi hatua ya kufika kokote fikiri kabla ya kutoa maoni mkuu.
Mkuu, hivi ratiba hukuwa unaiona ilivokuwa ikipangwa?
 
Hii mbinu ilibuniwa kwa ajili ya simba,lengo ilikuwa nikumwezesha ashiriki michuano ya kimataifa .Hivyo kwa kuwa timu nyingi zinanuka njaa ,kanuni zipitiwe haraka kabla ile adhabu aliyopewa mtibwa miaka ile isije ikatukuta ,
 
Uko sahihi.
 
Ata kama ratiba mkuu hatuwezi vunja kanuni na taratibu tulizojiwekea kisa fulan na fulani hawajafuzu noo mkuu waache na wengine wajaribu.
Mkuu, umenichekesha sana. Ni kanuni ngapi za FIFA na CAF hatuzifuati? Mbona zipo lukuki kwa faida ya timu zetu pendwa? Hakuna lisilowezekana.
 
Ukweli ningependa Singida watuwakilishe mwakani na wawe ndio wameingia kwenye ushindani wa kimataifa na taratiiiiiibu simba na yanga ziondoke kwenye utawala fake wa soka bongo
Na mimi ningependa iwe hivyo lakini bahati mbaya hawataing'oa Mtibwa Sugar ng'oooo.
 
Ndo wakati wa timu zingine za VPL zione ugumu wa mechi za kimataifa na kutoa heshima kwa Yanga,Simba na Azam.

Hivi unadhani Zanzibar wana hamu na michuano hiyo ya Afrika timu zao kila mechi zinaona cha moto.
 
Ni kanuni ya TFF. Kila nchi huamua mwakilishi apatikane vipi. Wengine hawana hata hiyo FA Cup
Kuna nchi hata moja ambayo ina FA cup na bingwa wake hashiriki mashindano ya federation?
 
Ndo wakati wa timu zingine za VPL zione ugumu wa mechi za kimataifa na kutoa heshima kwa Yanga,Simba na Azam.

Hivi unadhani Zanzibar wana hamu na michuano hiyo ya Afrika timu zao kila mechi zinaona cha moto.
Zanzibar wakishapata uanachama kamili watatushangaza.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ni kanuni ya TFF. Kila nchi huamua mwakilishi apatikane vipi. Wengine hawana hata hiyo FA Cup
Kweli kabisa. Tusiende mbali ni hapa Zanzibar tu kwa mfano wa karibu.
 
Zanzibar wakishapata uanachama kamili watatushangaza.
Wakipata uanachama wa FIFA ambao utapelekea kupata msaada ile ya kuendeleza soka watapiga hatua kubwa.

Sababu ya uaminifu na ukweli huku wakiwa na hazina ya vijana.
 
Sawia mkuu. Ndo maana Tanganyika haiipi nafasi.
 
Back
Top Bottom