TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

U Ukilalamika halafu bado ukafikiria hujapata hata reasons and causes juwa hutapata solution

Jifunze kufikiri kabla ya kulalama
 
Acheni ulalamishi kwa kila jambo, nendeni mkapime Vidonda vya tumbo najua wengi mnajikuta tu mmekuwa walalamishi na hamaki nawambieni Vidonda vya tumbo hizo ndio dalili zake kuu. Kama hamtaki ushauri huuu mtaishia kupatwa Kansa ya Utumbo.
Yani watu wanajadili vitu vya maana we unakuja kucheza kucheza baikok? huoni aibu?
 
Pia waboreshe matangazo yao ,siku hizi ubora umepungua. Huwa wanawekeza zaidi kwenye simba na yanga.
 
hata hiyo ratiba imewashinda kupanga ndio kama hivi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…