Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
refa nae akatumia nguvu ya bahasha kuamua matokeoMnalitia najisi soka letu kwa mambo yenu ya hovyo ya kupanga matokeo TAKUKURU leo nawashauri wawe macho.
Simba ni timu kubwa na inashinda kihalali dhidi ya namungo game ilikuwa tafu sana mpaka wachezaji wakaamua kutumia uwezo binafsi kuamua mechi.
😅😅😅😅 Utakuwa refa magumshiNtakuwa upande wa yanga.
yanga ndio tabia zao hadi mechi nne mfululizo wanapanga na simbaMagoli yalikuwa halali ndio maana hayajafutwa.
Mwamuzi kutoa red card hilo ni suala lake binafsi yeye na namna anavyoutafsiri mchezo hatuwezi kumpangia.
Ndiyo maana tunawataka TAKUKURU na JESHI LA POLISI leo wawe macho na manguli wa kupanga matokeo yanga afirika.
Umesikia huko, Bodi ya ligi wameifuta Ile kadi nyekundu waliopewa Namungi mechi ya Simba!?
Imeonekana ilikua kadi ya mchongo.
Waanze na ile ya goli la mkonoWaanze na mechi iliyopita ya Namungo kwa madunduka kupewa penalty tatu za mchongo na kadi nyekundu ya kizwazwa
Unataka ushahidi zaidi ya huo wa kufanya blunder makusudi kwa kuwaonea Namungo? Unataka kutuambia Sheria azijui au alizisahau?Leta ushahidi refa kapewa pesa?
Kwa hiyo ushahidi unao ila UMEUKALIA, sio?Mnalitia najisi soka letu kwa mambo yenu ya hovyo ya kupanga matokeo TAKUKURU leo nawashauri wawe macho.
Simba ni timu kubwa na inashinda kihalali dhidi ya namungo game ilikuwa tafu sana mpaka wachezaji wakaamua kutumia uwezo binafsi kuamua mechi.