Mkuu mm sio uto ila ile ilikua penat halali kabsaaaa jifunze kukubali matokeo kama legend CR7 akifungwa uwa anasema ((NO EXCUSE makosa ni yetu wachezaji) hakuna wakumlaumu)Niwaombe TFF BODI YA LIGI,WADHANI, sasa wakati umefika wakutoka gizani nakuendesha ligi kitaalamu tumeona mambo mengi ya hovyo yakifanyika uwanjani kwasababu ambazo naweza kuziita za kizembe au za hira waamzi wamekuwa ni chanzo cha matatizo haya ya kupoka haki za timu. Leo mchezo wa Kati Yanga na Biashara ule ni uhuni wa waamzi,ila zikiwepo tuninga zakutizama marudio hii itasaidia kumaliza migogoro isiyo ya lazima
TFF futilia hili tu tuboreshe ligi yetu.Asanteni
Sawa UtoMkuu mm sio uto ila ile ilikua penat halali kabsaaaa jifunze kukubali matokeo kama legend CR7 akifungwa uwa anasema ((NO EXCUSE makosa ni yetu wachezaji) hakuna wakumlaumu)
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nadhani umeficha kitu lengo la hii thread ni nini? Mimi bado sijaelewa umekusudia nini maana hujawa transparent kuwa wazi basi, maana Jana kuna matukio mawili makubwa moja la penalty lingine ni tukio la kukataliwa goli la 3 la Yanga hebu fungukaNiwaombe TFF BODI YA LIGI,WADHANI, sasa wakati umefika wakutoka gizani nakuendesha ligi kitaalamu tumeona mambo mengi ya hovyo yakifanyika uwanjani kwasababu ambazo naweza kuziita za kizembe au za hira waamzi wamekuwa ni chanzo cha matatizo haya ya kupoka haki za timu. Leo mchezo wa Kati Yanga na Biashara ule ni uhuni wa waamzi,ila zikiwepo tuninga zakutizama marudio hii itasaidia kumaliza migogoro isiyo ya lazima
TFF futilia hili tu tuboreshe ligi yetu.Asanteni
Yaan mashabiki wa mikia kwa kulalamika umesahau na sisi ile game na prison Ntabanzokiza alivyochezewa faulo ndani ya 18 lkn hatukupiga kelele sana kwahyo ile penat yetu ya cku ile tumepewa leo we tulia tu point tushachukua kwahyo hata uongee vp haibadilishi kituNiwaombe TFF BODI YA LIGI,WADHANI, sasa wakati umefika wakutoka gizani nakuendesha ligi kitaalamu tumeona mambo mengi ya hovyo yakifanyika uwanjani kwasababu ambazo naweza kuziita za kizembe au za hira waamzi wamekuwa ni chanzo cha matatizo haya ya kupoka haki za timu.
Leo mchezo wa Kati Yanga na Biashara ule ni uhuni wa waamzi, ila zikiwepo luninga zakutizama marudio hii itasaidia kumaliza migogoro isiyo ya lazima
TFF futilia hili tuboreshe ligi yetu.
Asanteni
Goli la 3 la Makambo hawalizungumzii kenge hawaMAKOLO hawataki yanga ashinde ........kila mech yanga akishnda basi wanaibua vikwazo
Tulien dawa iwaingie
Kwani hiyo inaondoa alichokiomba huyu mdau? Kama goli ni halali kwa nini alikatae? Kama penalty si halali kwa nini aliikubali ? Yaani huenda at the same time ameipa timu pinzani matokeo na ameinyima haki yake ya ushindi mnono zaidiNadhani umeficha kitu lengo la hii thread ni nini? Mimi bado sijaelewa umekusudia nini maana hujawa transparent kuwa wazi basi, maana Jana kuna matukio mawili makubwa moja la penalty lingine ni tukio la kukataliwa goli la 3 la Yanga hebu funguka
Mkuu mm sio uto ila ile ilikua penat halali kabsaaaa jifunze kukubali matokeo kama legend CR7 akifungwa uwa anasema ((NO EXCUSE makosa ni yetu wachezaji) hakuna wakumlaumu)
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app