KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Niwaombe TFF BODI YA LIGI,WADHANI, sasa wakati umefika wakutoka gizani nakuendesha ligi kitaalamu tumeona mambo mengi ya hovyo yakifanyika uwanjani kwasababu ambazo naweza kuziita za kizembe au za hira waamzi wamekuwa ni chanzo cha matatizo haya ya kupoka haki za timu.
Leo mchezo wa Kati Yanga na Biashara ule ni uhuni wa waamzi, ila zikiwepo luninga zakutizama marudio hii itasaidia kumaliza migogoro isiyo ya lazima.
TFF futilia hili tuboreshe ligi yetu.
Asanteni
Leo mchezo wa Kati Yanga na Biashara ule ni uhuni wa waamzi, ila zikiwepo luninga zakutizama marudio hii itasaidia kumaliza migogoro isiyo ya lazima.
TFF futilia hili tuboreshe ligi yetu.
Asanteni