TFF, Bodi ya Ligi, Simba, Yanga kukutana na serikali Machi 27, kuamua hatma ya Kariakoo Derby

TFF, Bodi ya Ligi, Simba, Yanga kukutana na serikali Machi 27, kuamua hatma ya Kariakoo Derby

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Uongozi wa TFF, Bodi ya Ligi, Simba na Yanga chini ya Wizara ya Utamaduni, sanaa na michezo utakutana kesho Machi 27 saa 4 asubuhi katika ofisi za BMT kujadili hatma ya mechi ya Derby iliyoahirishwa Machi 8.

Pande zote zimethibitisha kushiriki kikao hicho.

IMG_3734.jpeg

Soma, Pia
 
Hiyo ilijulikana wazi kwamba hii ngoma ngumu TFF waoga hawawezi kuimaliza, lazima imalizwe na CCM kwa kuwa hao wote ni watoto wake
 
Kelele za hatuchezi bila shaka zinaenda kuzikwa tutapanga event moja tu tuwape wazee supu za vibudu
 
Back
Top Bottom