Kuna malalmiko mengi yanatolewa na timu kuhusu vyumba kupuliziwa dawa. wachezaji wasipoingia TFF mnakuja na adhabu pasipo kuchunguza kimsingi hii si haki na si sehemu ya kutatua tatizo msingoje hadi watu wapate madhara ndo muanze kuchukua hatua. fanyeni uchunguzi na mjiridhishe ndo mchukue hatua