TFF fanyeni jambo tumpate huyu kocha wa kenya

TFF fanyeni jambo tumpate huyu kocha wa kenya

1754589890067.jpg
 
Tff ijitahidi pia ipate mashabiki kama wale wakenya sio wacheza aerobic exercise uwanjani Kisha wanaitwa mashabiki
NB:Ben alikuwa kwenye benchi la ufundi pale Man U chini ya Ten Haarg sio kocha mdogo na anajua kupanga team
Ila akija bongo team hataweza maana figisu nyingi
"Hili tunabeba"
 
Punguzeni kasumba ya kubabaika na wageni. Makocha waliopo wanawajua wachezaji vizuri sana na vijana wakiaminiwa wanajitoa kwa asilimia 100.

Sio kila kocha wa kigeni anayo maarifa ya kuwafundisha wachezaji wetu.
 
Zaman kulikuwa na tabia ya kukodisha makocha kutoka Simba ama Yanga.

Nadhan hata hii itasaidia sana TFF.
 
Nilichogundua mpaka sasa ni Serikali na TFF kupenda kuajiri cheap labour, badala ya makocha wenye CV na uzoefu mkubwa.
Hao ambao ni expensive labour mara nyingi wanakuwa daraja la juu sana kulinganisha na viwango halisi vya wachezaji wetu.

Makocha wetu wazalendo wanaongea kiswahili, ni rahisi kueleweka kwa wachezaji kulinganisha na mzungu anayehitaji mkalimani ili ujumbe umfikie mchezaji.

Mgunda na Morocco ni wachezaji wa zamani wanawafahamu vyema wachezaji wetu kuliko makocha wa kigeni.
 
Tff ijitahidi pia ipate mashabiki kama wale wakenya sio wacheza aerobic exercise uwanjani Kisha wanaitwa mashabiki
NB:Ben alikuwa kwenye benchi la ufundi pale Man U chini ya Ten Haarg sio kocha mdogo na anajua kupanga team
Ila akija bongo team hataweza maana figisu nyingi
"Hili tunabeba"
Hahahha yule hawezi fanaya kazi na tff...wabongo wenyewe tunavyopenda siasa ambapo haitajiki siasi
 
Back
Top Bottom