Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Sawa tunalifanyia kazi
🤣 we jamaa bhanaPunguzeni kasumba ya kubabaika na wageni. Makocha waliopo wanawajua wachezaji vizuri sana na vijana wakiaminiwa wanajitoa kwa asilimia 100.
Sio kila kocha wa kigeni anayo maarifa ya kuwafundisha wachezaji wetu.
Hao ambao ni expensive labour mara nyingi wanakuwa daraja la juu sana kulinganisha na viwango halisi vya wachezaji wetu.Nilichogundua mpaka sasa ni Serikali na TFF kupenda kuajiri cheap labour, badala ya makocha wenye CV na uzoefu mkubwa.
Hahahha yule hawezi fanaya kazi na tff...wabongo wenyewe tunavyopenda siasa ambapo haitajiki siasiTff ijitahidi pia ipate mashabiki kama wale wakenya sio wacheza aerobic exercise uwanjani Kisha wanaitwa mashabiki
NB:Ben alikuwa kwenye benchi la ufundi pale Man U chini ya Ten Haarg sio kocha mdogo na anajua kupanga team
Ila akija bongo team hataweza maana figisu nyingi
"Hili tunabeba"
Hawezi kwanza ni kibri hatari we mtu kafundishwa na MourinhoHahahha yule hawezi fanaya kazi na tff...wabongo wenyewe tunavyopenda siasa ambapo haitajiki siasi
Alafu sii sii tunataka wenye njaa ili tuwapelekeshe sasa yule pesa ipo huwezi mpelekesha.Hawezi kwanza ni kibri hatari we mtu kafundishwa na Mourinho
Hatuwezi kocha mwenye cv kubwa sie maama makando kando mengi.Naunga mkono hoja..Tunahitaji Kocha mwenye CV kubwa
SahihiNaunga mkono hoja..Tunahitaji Kocha mwenye CV kubwa