Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unamaanisha jeshi lipi?Nampongeza my.Rais kwa kutoa wazo la kujumuisha wachezaji kutoka jeshini kwenye kikosi cha timu ya Taifa cha mpira wa miguu.Hali hii itazidi kukifanya kikosi cha timu ya Taifa ya mpira wa miguu.
Ni heshima kubwa kwa rais iwapo TFF wafanyie kazi wazo hili.
Lakini Matola jamani?? 😀😀😀
Yaani ghafla wamekuaga viraka, wanachomekwa kila pahalaKwani nchi zenye vita zimeisha?? wanajeshi sio lazima kila kitu wao