TFF fikirieni tena juu ya timu kucheza mashindano ya Mapinduzi

TFF fikirieni tena juu ya timu kucheza mashindano ya Mapinduzi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Timu za bara kushiriki mashindano ya Mapinduzi kuna faida chache sana za kimpira kwa TFF, ligi, timu na wachezaji wa timu za bara kuliko hasara.
 
Timu za. simba na yanga zipeleke vikosi hafifu
 
Timu za. simba na yanga zipeleke vikosi hafifu
Timu zetu zinatumikia siasa zaidi kuliko mpira kwenye mashindano haya, matkeo yake timu zinaingia hasara kubwa kushiriki mashindano haya, wachezaji wanaumia na kuchoka sana, ligi inachelewa kumalizika na timu kuchelewa kwenda pre-seasons kabla ya ligi na mashindano ya caf kuanza.
 
Back
Top Bottom