TFF fumes as Yanga set new sponsorship deal

TFF fumes as Yanga set new sponsorship deal

Mie natangaza masilahi ni shabiki wa mnyama, hili swala ni gumu, Vodacom sio rahisi kubadilisha rangi ya nembo yao na Yanga wameshaonyesha kutovaa jezi yenye nembo nyekundu, mimi nadhan kama Yanga wanaweza kujiendesha bila hela za Vodacom then waachwe lakini ikitokea wamepata nafasi mojawapo kati ya tatu za juu au timu yenye nidhamu itabidi wapewe haki yao bila kujali inatoka Vodacom au inatoka wapi lakini lazima TFF wawape haki yao, na kama watawanyima basi TFF wasichukue chochote kwenye mechi ambayo Yanga watacheza.
 
Back
Top Bottom