Narubongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 2,768
- 2,753
Uwekezaji umeifikisha Simba hapo ilipo. Stars imefika afcon kwa mbeleko ya kuongeza timu 16-24Katika awamu hii tff imevuka malengo team ya simba imeweza kufika robo fainali club bingwa pia team ya taifa imefudhu Africon, Big Up tff kazi nzuri viongozi waliopita tff hawakuweza kufikia mafanikio haya KARIA Big Up Sana tunahitaji uwakilishi wa simba uendelee mwakani tutafika nusu fainali ikiwezekana tubebe ndoo kabisa, pia Team ya Taifa tutaenda World Cup