Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
- Thread starter
- #21
Barua iko addressed kwa nani?Kwani hata wasipojua tatizo liko wapi??? Watu hawajui Kiswahili, itakuwa Kiingereza ambayo ni lugha ngeni?
Kama inaenda Uhamiaji ili waweze kutoa Visa wageni wakifika uwanja wa ndege, Kingereza kibovu cha kazi gani?