Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Apr 12, 2019 Thread starter #21 1954 said: Kwani hata wasipojua tatizo liko wapi??? Watu hawajui Kiswahili, itakuwa Kiingereza ambayo ni lugha ngeni? Click to expand... Barua iko addressed kwa nani? Kama inaenda Uhamiaji ili waweze kutoa Visa wageni wakifika uwanja wa ndege, Kingereza kibovu cha kazi gani?
1954 said: Kwani hata wasipojua tatizo liko wapi??? Watu hawajui Kiswahili, itakuwa Kiingereza ambayo ni lugha ngeni? Click to expand... Barua iko addressed kwa nani? Kama inaenda Uhamiaji ili waweze kutoa Visa wageni wakifika uwanja wa ndege, Kingereza kibovu cha kazi gani?
simba wa dodoma JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 928 Reaction score 1,012 Apr 12, 2019 #22 hakuna anaejua kingereza sema wamekosea wangeandika kiswahili tu Sent using Jamii Forums mobile app