Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana hali ni mbaya watu tunakosa amani mtaani, sasa jamaa hata penalt hafungi yaani muoneeni huruma.
HhhhhhhhhhhhhhhhMaana hali ni mbaya watu tunakosa amani mtaani, sasa jamaa hata penalt hafungi yaani muoneeni huruma.
ila nyie yanga ! sawa bhana !Acha unaa. Kagere alianza kuyumba mechi kadhaa kabla ya kukutana na Yanga (ambapo ndo alinyang'anywa power bank). Alianza kuyumba kabla ya hapo Prince Kunta