TFF hili ndilo swali mlitakiwa kujiuliza, na hili swali ndilo kila mtu ukimuuliza hakupi majibu

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Hili swali nimelitoa humuhumu Kwa mwana JF nikali highligh tu maana hata Mimi nimejiuliza sana na nimeliuliza sana Kuanzia Jana ila Kila mtu ukimuuliza ana lala mbele.
Screenshot_20250309-053103.jpg
 
Hili swali nimelitoa humuhumu Kwa mwana JF nikali highligh tu maana hata Mimi nimejiuliza sana na nimeliuliza sana Kuanzia Jana ila Kila mtu ukimuuliza ana lala mbele.
View attachment 3264198
Swali la nyongeza je mvua ingeli nyesha siku hiyo walio taka kufanya mazoezi kesho yake Simba wangeli kimbia mechi

swali la pili nani mwenye funguo za uwanja

Swali lingine je simba walitoa taarifa kwa maandishi kuhusu kwenda kufanya mazoezi ama Ndiyo mazoea hujenga tabia

Hitimisho bodi ya Ligi Tanzania haina weledi nadhani hata TFF

Figure heads -Sanamu
 
Viongozi wote wa Bodi ya Ligi wapishe Viti vile wakalie wengine wenye kufuata kanuni na Sheria sio kufuata siasa za watu wachache
Kuthibitisha kwamba wajumbe wa bodi ya Ligi ya Tanzania uwezo wao wa kufikiri ni mdogo huwa hawaendi kwenye eneo la tukio, (uwanjani), eti wanasubiri report ya meneja wa uwanja na kamishina wa mchezo, Ndiyo maana wanatumia muda mrefu kufanya maamuzi
 
Swali la nyongeza je mvua ingeli nyesha siku hiyo walio taka kufanya mazoezi kesho yake Simba wangeli kimbia mechi

swali la pili nani mwenye funguo za uwanja

Swali lingine je simba walitoa taarifa kwa maandishi kuhusu kwenda kufanya mazoezi ama Ndiyo mazoea hujenga tabia

Hitimisho bodi ya Ligi Tanzania haina weledi nadhani hata TFF
Mvua ni kitu tofauti sana. Hiyo inajulikana changamoto zake.

Harassment waliyofanyiwa Simba haikuwa na uhalali wowote, tena imefanywa na the so called 'Makomandoo'.

Simba wametuma ujumbe kwa mamlaka za soka na vyombo vingine vya kiserikali kuonyesha kutokukubaliana na 'upendeleo' wa wazi anaoupata Yanga nje ya uwanja.

Wakiendelea kukaza shingo, sio hili tu, kuna mengi yataibuliwa ambayo bila shaka viongozi wa Simba wanao ushahidi wake. Kwahakika Ligi yetu haitabaki salama.

Ni muhimu kuwa na 'Fair Competition' In and Off the pitch.

Kwenye taarifa ya Simba wana maana kubwa kusema ' Haki zote zimehifadhiwa'. Wanajua wanachokifanya.

Kwahakika, Yajayo yanafurahisha.!
 
Viongozi wa Bodi ya Ligi watoke kwenye zile nafasi wapishe wengine wanaoweza kufanya maamuzi kwa kufuata kanuni bila kufuata mihemuko yao ya kisiasa na kishabiki
 
Mvua ni kitu tofauti sana. Hiyo inajulikana changamoto zake.

Harassment waliyofanyiwa Simba haikuwa na uhalali wowote, tena imefanywa na the so called 'Makomandoo'.

Simba wametuma ujumbe kwa mamlaka za soka na vyombo vingine vya kiserikali kuonyesha kutokukubaliana na 'upendeleo' wa wazi anaoupata Yanga nje ya uwanja.

Wakiendelea kukaza shingo, sio hili tu, kuna mengi yataibuliwa ambayo bila shaka viongozi wa Simba wanao ushahidi wake. Kwahakika Ligi yetu haitabaki salama.

Ni muhimu kuwa na 'Fair Competition' In and Off the pitch.

Kwenye taarifa ya Simba wana maana kubwa kusema ' Haki zote zimehifadhiwa'. Wanajua wanachokifanya.

Kwahakika, Yajayo yanafurahisha.!
Maswali ni mengis sana na yote hawawez yajibu
 
Mkuu sikia una halalisha mtu akifanyiwa kosa achukue sheria Mkononi?

Yani Simba alichofanya ni sawa mtu aibe halaf watu wamkamate wamuue unaona ni sahihi?

Simba Ina mamlaka ya kugomea Match na ikaahirishwa?

Kama Simba wanaona kuna Uhuni Mpira hauongozwi na TFF pekee kina body za Juu zaidi waende huko..

Jana Etoo kashinda kesi against CAF alienda CAS.
 
Back
Top Bottom