TFF hili ndilo swali mlitakiwa kujiuliza, na hili swali ndilo kila mtu ukimuuliza hakupi majibu

Bodi ya Wanalo.... Lazma wakinywee....
🙆🙆🙆🙆
 
Hili swali nimelitoa humuhumu Kwa mwana JF nikali highligh tu maana hata Mimi nimejiuliza sana na nimeliuliza sana Kuanzia Jana ila Kila mtu ukimuuliza ana lala mbele.
View attachment 3264198
Na huo uhuni ndio ilitakiwa kutumika kufanikisha upuuzi wa utopolo kwa kuchungulia madhaifu ya Kanuni za bodi ya ligi. Kwa Bahati mbaya viongozi wa Simba ni smart zaidi ya wale wa utopolo...Na kuna uwezekano wa kugombea na mechi nyingine za ligi kama hatua za kinidhamu hazitachukuliwa dhidi ya hao wahuni...Upumbavu upumbavu hatutaki! UBAYA UBWELA
 
Swali la nyongeza je mvua ingeli nyesha siku hiyo walio taka kufanya mazoezi kesho yake Simba wangeli kimbia mechi

swali la pili nani mwenye funguo za uwanja

Swali lingine je simba walitoa taarifa kwa maandishi kuhusu kwenda kufanya mazoezi ama Ndiyo mazoea hujenga tabia

Hitimisho bodi ya Ligi Tanzania haina weledi nadhani hata TFF
Sii kunakuwa na pre match meeting ambapo masuala yote hayo yanazungumzwa...je hiko kikao hakikuwepo na kama kilikuwepo kwa nini hili suala la mazoezi kwa upande wa simba hayakuzungumzwa
 
Mtazunguka kote lakini hiyo mechi itarudiwa na SA100 atakuwa mgeni mwalikwa. Yule mtu anapenda kuonekana na kuongelewa tu yeye hapa Tz.
 
Sii kunakuwa na pre match meeting ambapo masuala yote hayo yanazungumzwa...je hiko kikao hakikuwepo na kama kilikuwepo kwa nini hili suala la mazoezi kwa upande wa simba hayakuzungumzwa
Umenena vyema huwa wanapenda kuongea nyuma ya mikamera siku moja kabla ya mechi na waandishi wa habari ambapo makocha wa pande zote mbili wanakuwepo

Yaani tunatumia akili nyingi bila sababu kudadavua mambo wakati wajinga na wapumbavu wamekaa pale wanatucheka kwa kwikwi

Mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi kwa Tanzania upumbavu ni kipaji
 
Kwanini timu izuiwe kufanya mazoezi?
Walitoa taarifa ya kwenda kufanya hayo mazoezi? Mbona taarifa ya hiyo Bodi ya ligi inaonesha wazi hakukuwepo na mawasiliano yoyote yale ya mapema ya kuonesha hiyo timu ya simba ingeenda kufanya mazoezi, ili maandalizi yafanyike?

Halafu swali litabakia pale pale; je, kuzuiwa kufanya hayo mazoezi ndiyo kuwe ni tiketi ya kususia mchezo? Au kilikuwa kinatafutwa tu kisingizio baada ya viongozi wa timu kufanya tathmini yao ya kina, na kugundua maji yako shingoni?
 
Wanayafahamu mapungufu ya bodi ya Ligi kwamba
1. Bodi ya Ligi huwa hawaendi eneo la tukio, (uwanjani)
2.Bodi ya Ligi haina uwezo wa kutafsiri kanuni
3. TFF hawana elimu ya biashara ama ujasiriamali yaani mteja kwao ni fala tu, (mashabiki) hata wasipokuja uwanjani pia hawajui umuhimu wa matangazo ya kibiashara hadi hapo watakapo shitakiwa na wenye akili
 
Swali la nyongeza je mvua ingeli nyesha siku hiyo walio taka kufanya mazoezi kesho yake Simba wangeli kimbia mechi

swali la pili nani mwenye funguo za uwanja

Swali lingine je simba walitoa taarifa kwa maandishi kuhusu kwenda kufanya mazoezi ama Ndiyo mazoea hujenga tabia

Hitimisho bodi ya Ligi Tanzania haina weledi nadhani hata TFF

Figure heads -Sanamu
1: ukikamilisha taratibu zote uwanja unakua mali ya timu mwenyeji.
2: kufanya mazoezi nihaki kisheria siku moja kabla ya mchezo,hivyo hunahaja ya kutoa taarifa kwakua nihaki yako,azam alifanya mazoezi j2 ucku cku moja kabla ya game ya simba iliochezwa j3 taifa ya sare ya 2-2.
3: sheria ya mazoezi vs kutocheza mchezo wenyewe,ukitasfiri kiuhalisia,huwezi kua timamu km hujafanya mazoezi,but siku moja haiondoi kutokua kikamilifu kimwili lkn kimbinu kila cku inaratiba yake hivyo ratiba ya mwalimu kufundisha kitu cku moja kabla ya game imeharibika inaweza kua na madhara makubwa kimbinu km wakifungwa.
 
Wanayafahamu mapungufu ya bodi ya Ligi kwamba
1. Bodi ya Ligi huwa hawaendi eneo la tukio, (uwanjani)
2.Bodi ya Ligi haina uwezo wa kutafsiri kanuni
3. TFF hawana elimu ya biashara ama ujasiriamali yaani mteja kwao ni fala tu, (mashabiki) hata wasipokuja uwanjani pia hawajui umuhimu wa matangazo ya kibiashara hadi hapo watakapo shitakiwa na wenye akili
Kibiashara hii game imetia hasara kubwa mno tena sana,kuna hadi scouts wametoka nje kuja angalia hio mechi,wafanyabiashara ndio janga kabisa
 
Tanzania tuna watu wajinga na wapumbavu tunao wapa dhamana halafu tunawachekea
 
Umenena vyema huwa wanapenda kuongea nyuma ya mikamera siku moja kabla ya mechi na waandishi wa habari ambapo makocha wa pande zote mbili wanakuwepo

Yaani tunatumia akili nyingi bila sababu kudadavua mambo wakati wajinga na wapumbavu wamekaa pale wanatucheka kwa kwikwi

Mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi kwa Tanzania upumbavu ni kipaji
Hapo wakumla kichwa wakwanza ni GC wa mchezo period.
 
Swali la nyongeza je mvua ingeli nyesha siku hiyo walio taka kufanya mazoezi kesho yake Simba wangeli kimbia mechi

swali la pili nani mwenye funguo za uwanja

Swali lingine je simba walitoa taarifa kwa maandishi kuhusu kwenda kufanya mazoezi ama Ndiyo mazoea hujenga tabia

Hitimisho bodi ya Ligi Tanzania haina weledi nadhani hata TFF

Figure heads -Sanamu
Swali jingine, nani aliyepeleka malalamiko kwenye bodi ya ligi hadi waitishe kikao? Kwa maneno mengine, mlalamikaji kwenye jambo lililosikilizwa na kikao, alikuwa nani?
 
Kwenye kutafsiri sheria hakuna ..inge...
Sheria inajishughulisha na facts zilizopo mana si muda wa kuitunga sheria!
Mambo ya mvua achana nayo.
Rudi swali la msingi la mleta mada.
Binafs sipendi mtu anaye underrate sheria na kuzalisha uholela.
Ni tabia iliyotufikisha pabaya hata ngazi za kisiasa.
..Sitasahau kisa cha kesi ya ubakwaji wa binti chini ya 18 iliyopelekwa polisi alaf polis akaanza kutoa maoni eti yaishe kifamilia kwa sababu tu msichana hajachanika viungo!
Sheria ni sheria!
 
Simba amelalamika kufanyiwa fuji na kuzuia kuingia uwanjani na makomando wa yanga hivyo akaamua kupeleka barua saa 8 usiku kwa tff na bodi ya ligi
 
Unamaanisha ile taarifa kwa uma ndo barua kwa bodi ya ligi?

1741506259345.png

AU kuna nyingine? Kama una iliyokuwa addressed kwa bodi ya ligi iweke hapa.

By the way, kula hiki chuma hapa chini;

1741506350616.png

CC Lububi
 
Kwenye kutafsiri sheria hakuna ..inge...
Sheria inajishughulisha na facts zilizopo mana si muda wa kuitunga sheria!
Mambo ya mvua achana nayo.
Rudi swali la msingi la mleta mada.
Binafs sipendi mtu anaye underrate sheria na kuzalisha uholela.
Ni tabia iliyotufikisha pabaya hata ngazi za kisiasa.
..Sitasahau kisa cha kesi ya ubakwaji wa binti chini ya 18 iliyopelekwa polisi alaf polis akaanza kutoa maoni eti yaishe kifamilia kwa sababu tu msichana hajachanika viungo!
Sheria ni sheria!
Hii jamii ya bora liende ni ya kipumbavu, hatuwezi kuendesha taasisi kwa masilahi binafsi ama ya watu wachache
 
Walitoa taarifa ya kwenda kufanya hayo mazoezi? Mbona taarifa ya hiyo Bodi ya ligi inaonesha wazi hakukuwepo na mawasiliano yoyote yale ya mapema ya kuonesha hiyo timu ya simba ingeenda kufanya mazoezi, ili maandalizi yafanyike?

Halafu swali litabakia pale pale; je, kuzuiwa kufanya hayo mazoezi ndiyo kuwe ni tiketi ya kususia mchezo? Au kilikuwa kinatafutwa tu kisingizio baada ya viongozi wa timu kufanya tathmini yao ya kina, na kugundua maji yako shingoni?
Kwanini wazuie mabaunsa wa yanga na sio serikali
 
Back
Top Bottom