Nimeshangaa kumbe timu yetu ya wanawake under 17 wamechukua ubingwa wa COSAFA na hii habari
Haina hata buzz yoyote..why?
Wasouth Africa wanaipamba Sana timu Yao ya wakubwa imechukua ubingwa.
Women COSAFA cup.
Hii ya under 17 habari wanaifunika funika.
Na Sisi wenyewe hata vyombo vyetu vya habari havina interest.
Nna uhakika hata mapokezi watapata ya kinyonge Sana..licha ya Rais Magufuli kusema anataka ushindi ..hii timu
Ni kama yatima why?
TFF mnashindwa hata kuhamasisha Tu watu kusherehekea ubingwa huu??
Inasikitisha sana