TFF huu ubingwa ufike Ikulu

TFF huu ubingwa ufike Ikulu

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nimeshangaa kumbe timu yetu ya wanawake under 17 wamechukua ubingwa wa COSAFA na hii habari
Haina hata buzz yoyote..why?

Wasouth Africa wanaipamba Sana timu Yao ya wakubwa imechukua ubingwa.

Women COSAFA cup.

Hii ya under 17 habari wanaifunika funika.

Na Sisi wenyewe hata vyombo vyetu vya habari havina interest.

Nna uhakika hata mapokezi watapata ya kinyonge Sana..licha ya Rais Magufuli kusema anataka ushindi ..hii timu
Ni kama yatima why?

TFF mnashindwa hata kuhamasisha Tu watu kusherehekea ubingwa huu??

Inasikitisha sana
 
IMG_20201115_033222.jpg
 
Hawa watoto wa Twiga stars under 17
Wamepigana hadi ubingwa..
Tuwape heshima yao
Sio kuwachukulia poa na kuwavunja moyo
Leo mabingwa wa COSAFA under 17
Wakiendelezwa watafanya makubwa zaidi
Kwanza wathaminiwe..
 
Utashangaa IKulu Wataenda kina zuchu
Na Steve Nyerere..hawa mabingwa wasithaminiwe
Hata posho ukute hawana
TFF Ujanjaujanja tu
Wanaotakiwa Kupongezwa Hawapewi Nafasi
Cash Waliopata Huko Italiwa Na Wajanja
Magazeti Kimya Radio Zetu Aibu
 
TFF Ujanjaujanja Tu
Wanaotakiwa Kupongezwa Hawapewi Nafasi
Cash Waliopata Huko Italiwa Na Wajanja
Magazeti Kimya Radio Zetu Aibu
NNadHa
Tff kazi yao ilishaisha maana wamejitahidi sana hadi timu zetu kuweza kushiriki haya mashindano
 
Back
Top Bottom