kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Timu ya Prisons inacheza na kutafuta matokeo kwa kuhatarisha afya na maisha ya wachezaji wa timu nyingine viwanjani. Hali inakuwa mbaya sana inapocheza na timu kubwa za Simba, Yanga na Azam.
Wachezaji wanageuza uwanja kama sehemu ya vita badala ya sport. Wanakamia mno bila kujali afya za wenzao uwanjani na hatima ya maisha ya mpira wa wachezaji wenzao.
Haieleweki kama kama haya ni maelekezo ya benchi la ufundi au wachezeji wenyewe tu.
Pira gwaride na timu kubwa linagharimu sio tu afya za wachezaji wa timu kubwa lakini hata matokeo ya Prisons dhidi ya timu ndogo kwenye ligi. Wanamaliza nguo zao nyingi kwenye mechi dhidi ya timu kubwa na kufungwa na timu ndogo kwenye mechi.
TFF na waamuzi wawe macho na uchezaji usiokuwa wa kiungwana wa timu ya Prisons na timu nyingine zinazocheza kwa kuumiza wachezaji wa timu nyingine kwa kisingizio cha aina yoyoye. Wachezaji wazuri wanajeruhiwa kizembe na wahuni wanaosaka sifa za kihuni.