Huu ni mchezo wa mpira na wachezaji miguu yao ndiyo ajira yao hivyo huwezi kuhatarisha ajira zao eti kwasababu wewe ni mwanajeshi na lazima upate matokeo kwa gharama ya afya za wachezaji wa timu pinzani. Hii inakoleza lile wazo la timu za majeshi ziwe na ligi yao.Siku ile wachezaji wa Simba walivyokuwa wanapigwa daruga shingoni na hawa wanyela nyie manyani mlishangilia sana.
Sasa kama walitaka kupewa 40M na walikataa kuna uhusiano gani na kufungwa? Mfa maji haachi kutapatapa. Anataka kusema yule refa aliyeruhusu goli la mkono la Maradona alihongwa sh. ngapi? Wazungu walipoamua kuja na VAR hawakuwa wajinga.Mechi ya jana walikutana wote wacheza mieleka wanaotumia mpira.
Kuna wahuni wanaoharibu mchezo wa soka hapa nchini linapokuja suala la anga kubebwa na waamuzi unawaona wanajitahidi kuleta hoja kana kwamba eti ni mambo ya kawaida tuyazoee.
Hata hoja ya milioni 40 wanajitahidi kuipuuza na kumlaumu aliyeisema wazi wazi. Jambo la kushangaza ni pale kipa mmoja aliyewahi kuituhumu Simba kuwa ilitaka kumhonga gari, aliitwa kwenye kituo chao na akapewa karibu ya saa nzima kumiliki kipindi na kuwaelezea umbea huo uliokuwa na lengo la kuichafua tu brand ya Simba. Hakuwa na ushahidi. Huyu mwenye ushahidi wa simu kupigwa, anapuuzwa na kutakiwa aadhibiwe yeye kwa kusema ukweli.
Kuna siku mtapata mkitakacho.
Wengine wanapata matokeo kwa kupulizia dawa wenzao kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani, na wametenga fungu kubwa la pesa kwenda kwa wachezaji muhimu na waamuzi ili kupata matokeo. Habari zipo. Mchezaji aliyepokea rushwa anaweza akaifungisha timu, kuacha kufunga goli au kujisingizia kuumwa ili asipangwe kwwnye mechi.Sasa kuna wengine bado wanaendeleza hayo ya akina Mwakingwe enzi hizi za digital. Mbaya zaidi yanacheza pira mihogo michungu yakitegemea pira rushwa.
Mungu abariki TFF hii yenye upogo isirudi madarakani. Tutamuomba yule kiongozi wa wahindu aombe ili Mwenyekiti/rais asirudiuto muwe mnatafuta wachezajj wenye afya na nyie. By the way mbona mnalalamika Sana nyie mnamatatizo gani nyie utooo. Kila siku mnaoonewa ni nyie tu wengine hawaonewi.
By the way msitutoe kwenye mada ya 40m daaadek zenyu
Sasa mkuu si wataendeleza haya haya msimu ujao? Kwa hiyo timu zingine zitaendelea kusindikiza au nazenyewe zitaanza kupuliza dawa?Wengine wanapata matokeo kwa kupulizia dawa wenzao kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani, na wametenga fungu kubwa la pesa kwenda kwa wachezaji muhimu na waamuzi ili kupata matokeo. Habari zipo. Mchezaji aliyepokea rushwa anaweza akaifungisha timu, kuacha kufunga goli au kujisingizia kuumwa ili asipangwe kwwnye mechi.
Ndio maana kulikuwa na timu ambazo zikikuwa zinakataa kuingia kwenye vyumba uwanjani. TFF ilikuwa ikizilazimisha kuingia vyumbani kwa lazima kwa kuzipga fainiSasa mkuu si wataendeleza haya haya msimu ujao? Kwa hiyo timu zingine zitaendelea kusindikiza au nazenyewe zitaanza kupuliza dawa?
Sasa mbona hizo timu zingine zinafukuza makocha wakati kumbe sababu ya matokeo mabovu ni kupuliziwa dawa?Ndio maana kulikuwa na timu ambazo zikikuwa zinakataa kuingia kwenye vyumba uwanjani. TFF ilikuwa ikizilazimisha kuingia vyumbani kwa lazima kwa kuzipga faini
Mfano kuna striker wa timu moja anaitwa 'Sapongo', kwa hiyo huyu ni bonge la striker ila hafungi kwa sababu ya kupuliziwa dawa?Hawakujuwa kuwa kuna kupuliziana, badala yake walidhani makocha na wachezaji ndo hawafai.
Inawezekana, kuna timu zinazowahonga wachezi muhimu wa timu pinzani, inawezekana sapongo ni mmojawapo, kama sio kupuliziwa dawa basi kapuliziwa pesa asifungeMfano kuna striker wa timu moja anaitwa 'Sapongo', kwa hiyo huyu ni bonge la striker ila hafungi kwa sababu ya kupuliziwa dawa?
Topolo halijielewi wenzake washagundua tatizo ni usajili mbovu yeye bado anatafuta vijisababu havina kichwa wala miguuSasa mbona hizo timu zingine zinafukuza makocha wakati kumbe sababu ya matokeo mabovu ni kupuliziwa dawa?
Sasa wewe unaejua umeisaidiaje utopolo isiendelee kusindikiza?Shida yako hujui lolote zaidi ya kuvaa jezz ya club
Wewe ndiye uliyelengwa nq kauli ya Eymael wenzako wanafungwa wanakubali wamezidiwa.wewe unakuja na mipasho yako ya kiajbuShida yako hujui lolote zaidi ya kuvaa jezz ya club
Shida namba moja ya Yanga ni TFF kabla ya simba yenyewe. Viongozi kadhaa wa nchi wanaonyesha mahaba ya wazi kwa timu wanazozishabikia. Ona sakata la Morison lilivyoshughulikiwa.Sasa wewe unaejua umeisaidiaje utopolo isiendelee kusindikiza?
Sasa si mlienda CAS au na kwenyewe wana mahaba na timu hapa bongoland?Shida namba moja ya Yanga ni TFF kabla ya simba yenyewe. Viongozi kadhaa wa nchi wanaonyesha mahaba ya wazi kwa timu wanazozishabikia. Ona sakata la Morison lilivyoshughulikiwa.
Kwa hiyo Mungu ndie aliepeleka kesi CAS?Mungu anajuwa