MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Iwe hiyo timu au timu yoyote, TFF inapaswa kutazama hizi double standardsKuwa muwazi. Sema TFF wakiruhusu Simba kuutumia uwanja wa Mkapa.
Huu ni wivu ama ni gubu..?πππππ
Hakuna timu yoyote hapo. Timu zimebakia mbili tu, Simba na Yanga.Iwe hiyo timu au timu yoyote, TFF inapaswa kutazama hizi double standards
Nyie Utopolo mliomna mkanywimwa.Uwanja wa Mkapa upo katika ukarabati, jambo lililopelekea baadhi ya mechi hususan hizi mechi za hatua ya awali kutoruhusiwa kutumia uwanja wa Mkapa mpaka hatua ya makundi ambapo vilabu ndipo huruhusiwa kutumia uwanja wa mkapa. Tumeshuhudia vilabu kama Yanga na Azam vikitumia viwanja vingine. Endapo TFF itaruhusu baadhi ya yimu kuutumia uwanja huo, itakuwa jambo la aibu kwa mpira wa Tanzania.
Mmiliki wa uwanja ni Serikali japo inasemekana Yanga huufaidi zaidi. Timu moja kupata upendeleo si sawaHujui hata nani ni mmiliki wa uwanja wa mkapa na anayeamua timu itumie uwanja upi